Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1764223829149.jpg
 
Yaani Anfield sasahivi imekuwa kichwa cha Mwendawazimu kila Mtu ananyoa 🚮
Kweli Slot katushusa heshima 🚮🚮
 
Nilikuwa nimeshaanza kufanya kitambi lakini kichwa mviringo amenifanya nipoteze kitambi cha kufutia Simu 🚮🚮
 
Umoja wamashabiki wa kandanda pale wingereza tunapinga vikali swala la kutaka Sir Arne slot master uwaraza afukuzwe kazi sio jambo la haki.

tunaitaka menejiment ya liverkuku imvumilie mpaka mwisho wa mkataba tunaitaka iheshimu mkataba.
 
Wacha mpakatwe tuu takataka ninyii ...sajili la paundi 500M na vipigo kila kona yani ni kupigwa tuuu, pigaaa mbwa mwizii kuku kishingooo 😆 😂 😄😄😄
 
hii ni liver ya brendan rodgers, roy hodgson au daglish 2

tunatia aibu mnooo
 
Unasajili attacking force huku nyuma kukiwa kumeoza. Watani Hadi sasa hatuchekani Nafikiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom