Matokeo pekee hayawezi kumdefine kocha aliye kwenye transition ya system, kikosi na majeruhi.
No coach in world football is judged after 3–4 months, especially kwenye klabu ambayo imepitia mabadiliko makubwa kama Liverpool.
Hata Klopp mwenyewe:
Alipoteza mechi nyingi mwaka wake wa kwanza.
Alihitaji transfer windows 2–3 kujenga identity.
Alijenga timu taratibu baada ya kupata wachezaji wenye right profiles.
So kwa Slot, bado tupo kwenye zile zile hatua ambazo Klopp alipitia 2015–2017.
This is a rebuilding phase, not a “results-only” phase.
Kibaya ni watu kutaka “prime Klopp football” na “peak consistency” ndani ya miezi mitatu
hilo ni fantasy football, si real football.
Transition huwa chungu, lakini ndio msingi wa success.
Na kama tunatafuta identityidentity mpya haizaliwi ndani ya weekend tatu… inahitaji muda, stability na wachezaji wanaofaa, otherwise tutakuwa tunaijadili tu kwa hasira badala ya kuielewa objectively.
Nisaidieni wakuu
The MoNA Captain Marvelous 😂😂😂