Anachokifanya Slot ni kama alivyokuwa akifanya klopp kwa bob. Baada ya kuwa flop aliendelea kumwamini huku alishindwa kumtoa msaada kwa timu, ndivyo ilivyo kwa Mo Salah kwa sasa.
Hana msaada lakini yupo tu kwenye starting 11.
Wengine sio wavumilivu, tutaenda kutafuta faraja kwa majirani. Tushaanza kuonekana kama united.
Kwani tumeangukia europa???😂😂😂Kilele kipi au unamaanisha Climax au Orgasm? Fafanua kijana.
Timu za Europa league bhana 🤣🤣
Yes bro, liverkideri is back 😂Liverpool is back
Uwezo wa Arne Slot umefika mwisho! Apishe!Hii game siyo fair.
Nottingham hawakumtumia kikosi Arne Slot, nigga didn't know what to do
🤣🤣🤣Wapii Izak hahaha Wapi Allison kipa la duniaaa hahaha haha wahuni wanachomeka tuuu hahaha