😄🤣🤣🤣 Nawakumbusha tu weekend ijayo mnacheza na Aston Villa halafu mechi inayofata mnakutana na Man City.
Kwenye press conference baada ya kupokea kipigo kutoka kwa Brentford Amne Slot ameomba dirisha dogo aongezewe washambuliaji wengine watatu.
Sasa mbona nyie hamkutufunga? Na pia mna miaka mingapi hamjachukua kombe? 🤣🤣🤣Mlifurahi siku mlipoifunga Arsenal ya majeruhi tukawaambia mmebahatisha kafaulo mkasema sana.
Kiko wapi.
Baada ya hizo mechi 2 za Aston Villa na Manchester City kuisha Liverpool wasahau kuhusu kuikamata Arsenal.🤣🤣🤣 Nawakumbusha tu weekend ijayo mnacheza na Aston Villa halafu mechi inayofata mnakutana na Man City.
Kwenye press conference baada ya kupokea kipigo kutoka kwa Brentford Amne Slot ameomba dirisha dogo aongezewe washambuliaji wengine watatu.
🤣🤣🤣🤣Huyu kichwa kontena anatuaibisha mpaka kwa wake zetu! Leo wife kakataa kuifua Jezi yangu ya Liverpool 🚮🚮
Tatizo lipo kule nyuma mkuu....Van dijk ameshakwisha...kumuongezea mkataba wa mahela mengi ilikuwa ni ufala sana....mngeachana naye na kuchukua vitasa vipya viwili kwa Hela ya Isak.... Frimpong mmepigwa...mngetumia Hela yake kuchukua yule beki 2 wa Inter....mna tatizo kubwa kuliko mwalimu.....huwezi ku compete ukiwa unaruhusu magoli 2 na zaidi Kila mechi....hutashinda goli tatu Kila mechi....fix ur defenceKuna hatari ya kuja kufungwa mechi 10 mfululizo iwapo huyu kichwa ndoo ataendelea kuboresha kipara chake badala ya kuboresha mbinu zake.
Kwenye msimamo mpo nafasi ya ngapi? 🤣, pia kwa sasa nyie si mpo Europa league na sisi tupo Eufa au?Slot mitanooooo tenaaaaa