Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi kocha wa kufundisha Feyenood ndio aifundishe Liverpool fsg walijifikiria nn?
 
Apewe mkataba mpya huyu ndo kocha tuliekua tunamsubiri kwa hamu...ana kitu 😁
 
Ila Man City tutakuwa naye na kisasi kibaya sana akija Anfield...
 
Huyu kichwa kontena anatuaibisha mpaka kwa wake zetu! Leo wife kakataa kuifua Jezi yangu ya Liverpool 🚮🚮
Pep atachukuwa hili lidude mtaani kelele zitakuwa ndogo sisi wengine team zetu zijipange ,tuwe watulivu mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom