k.shuku kibosho
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 278
- 269
Sure mimi nimeungana na wewe rasmi leo,, mbona timu inacheza cheza tu haieleweki inataka nini.. kile kikosi mbona kipo vizuri.Tulisha poteana tayari, Slot hamna kocha pale
Ana kikosi kizuri sana lakini sijui anafundisha defence tu? 😂😂 Maana naona wachezaji wanapoteza mipira tu na vi back pass vyao na counter zisizo eleweka, hapa tumuombe tu msamaha Klopp.Sure mimi nimeungana na wewe rasmi leo,, mbona timu inacheza cheza tu haieleweki inataka nini.. kile kikosi mbona kipo vizuri.
Ndio mbinu za kumpa ushindi kocha wetu hizo 😂😂😂😂
Oct 4 Chelsea
Oct 19 man u😅😂
Jumamosi sio mbaliHao Chelsea na Manure wasije kushangaa tu kuwa nini kimewakuta