Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
asante mkuu. ngoja tuanze kuandaa suti kushangilia ubingwa. 😂. vijana wanapambana sana aisee. leo ilikuwa kipimo. waliokuwa wanapiga kelele hatuna DM oohh hamna CB sijawasikia sijui watakuja na issue gani tena ?😂.Hongera LiverpoolFC kwa kuwa bingwa wa EPL msimu wa 2025/2026
