Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Isak ship has sailed

Hatuna hela ya kumnunua huyo mkuu.

I can see Arsenal, Chelsea & Utd, wakijaribu this summer.

But, kama newcastle wakipata top four, he wont go anywhere.
Asante Mkuu
Vipi ishu ya Trent
kinachomkwamisha kusaini ni kiwango cha pesa?? Au ni homa ya kucheza Madrid?? Maana haijulikani anataka nini? Hiki ndo kinachokera watu. Tangu kapewa offer ya 300k per week kwa miaka 5 mbona hatujasikia kaamua nini??
 
Isak ship has sailed

Hatuna hela ya kumnunua huyo mkuu.

I can see Arsenal, Chelsea & Utd, wakijaribu this summer.

But, kama newcastle wakipata top four, he wont go anywhere.
We missed the bus kizembe sana
 
He is overrated
Uncle wachezaji wa kiingereza wao wamejiweka as exceptional. Ndio maana ni rahisi sana Lfc kumuachia Salah lakini inaweza kuwa ngumu kumuachia Trent. Na ndio maana zilipoibuka taarifa za Salah kutokutaka kuongeza mkataba wengi walisupport aondoke wakiongozwa na Carragher, reason behind they are more selfish na wanasupport sana vya kwao kwanza
 
Asante Mkuu
Vipi ishu ya Trent
kinachomkwamisha kusaini ni kiwango cha pesa?? Au ni homa ya kucheza Madrid?? Maana haijulikani anataka nini? Hiki ndo kinachokera watu. Tangu kapewa offer ya 300k per week kwa miaka 5 mbona hatujasikia kaamua nini??

Manyanza.

Hakuna offer ya 300k p/w ambayo Trent amepewa na Club, hizi ni propaganda za FSG/club.

Anachokitaka Trent kipo mezani since last season na Club/FSG wanakijua, ni suala la ku-match or get close to it, period.

Same to Salah, same to VVD, same to Konate.

Ukitoa emotions, hakuna chochote kinachokera, zaidi ya nyie kuamua kukaa upande wa Club/FSG, ni rule/sub-regurations kwa mfumo wa maoni/policy zilizotolewa na instruments zinazosimamia masuala ya football duniani, kuwa ni vyema club ku-engage na mchezaji, kwa mazungumzo ya mkataba wake mpya 2 years kabla ya ule wa awali kuisha, Trent signed a 4 years deal back in 2021, 2023 as a club tulitakiwa tuanze mazungumzo ya awali na camp yake, suala la kuanza ku-negotiate mkataba mpya 2 years kabla ya ule wa awali kuisha ni kwasababu ya kuepusha mchezaji kutogeuzwa kichwa na club zingine na pia kumpa certainity mchezaji husika, sasa huwezi tegemea Madrid/other clubs wasije mezani wakati wanaona mchezaji kabakiza miezi 6 na bado mazungumzo ya new contract hayaeleweki, lazima watumie hiyo nafasi kupenyeza interest yao/zao, na watafanya kwa mbinu zote chafu kwa maana wanajua angekuwa kwenye mkataba wasingempata kirahisi, so hii ni golden chance.

Manyanza, tukiweka ukweli mbele, Salah na Trent, nani ana-handle ishu ya contract vibaya? Trent ambaye kakaa kimya? au Salah ambaye anazunguka kwenye medias kulilia mkataba? anachofanya Salah si ndiyo tulikuwa tunampondea Henderson wakati ule?. Juzi Salah kapost ile picha twitter (Yeye, Trent, VVD), wote hawa dunia inajua wana ishu ya contract na LFC? Salah anataka ku-prove kipi hapa? huoni kuwa anaonesha dunia how incomptent FSG are? mbona hamumsemi? mimi NAMUELEWA Salah, tena sana, because i've never liked the way FSG wana-run hii club, LAKINI kama ningeamua kuchangua upande wa FSG kuhusu hii ishu ya Salah, ningekuwa na valid points pia, but suala ni kwamba, tutaendelea hivi mpaka lini as a Club?

Na swali langu la kila siku ni kuwa, as a big & reputable club ambayo tunasema inaendeshwa vizuri, unaachaje wachezaji wako wote wakubwa WATATU wanaingia kwa pamoja kwenye final year ya mikataba yao? achilia mbali miezi 6 now?

Konate was supposed to sign an extension 3 months ago, mpaka sasa ni kimya tena.
 
We missed the bus kizembe sana
I guess ni tradition, or what..

Game ya Isak, haiko mbali sana Nunez (style of play), especially wakati yupo Benfica.

Isak game has evolved, wakati Nunez ameenda backward SANA.

Kuna slight chance, Isak asinge-hit the ground running at LFC, history has proven in recent times kuwa we're not a tailor made club for STs kama Isak, chance ya Cunha Or Duran kufanikiwa at LFC ni kubwa sana kuliko Isak, though he has everything unachohitaji kutoka kwa a flat-bully ST.
 
We have clueless owners who only care about the brand rather than the pitch success winning trophies etc, this season walibet tutakua worse hukoo chini kiasi hata ma star players wataomba wenyewe kusepa ambao ni VVD, Salah, Trent na Allison au mikataba ingeisha so FSG waka relax wakisubiri pengine hata tuikose big 4 then hapo ndio waanze kumwambia Slot aanze na wachezaji wa aina hii kutengeneza kikosi chako otherwise how do you explain this situation ambayo tupo nayo hapa, its well documented Gomez, Konate will never give 20 games consecutively so how did they lets 2024 June pass bila kuingia sokoni is scary kabisaaa na tupo January wanajua huu ndio wakati to make amends walipokosea June lakin wenyewe wapo kimyaaa.
Yaani kua na owners design ya FSG ni century curse wapo kwa ajili ya kujitajirisha tu hakuna kingine imagine tupo Carabao, UCL, EPL, FA na kote tukiwa na chance ya ushindi lakini wenyewe hata tetesi za beki au MF fulani hakuna, Uingereza ligi inahitaji owners kama Roman anaesepa na fursa au Mansour.....
Playing Konate juzi was suicidal yaani he was scared as hell sikumbuki akiwa brave enough for a proper tackle aisee of which akiwa mzima that his trademark no fear....
Kwa sasa let's pray n hope angel luck be with us kwa VVD, Gravenberch na Salah etc wawe wazima wa afya no ishu kabisa then tutakua a bit safe chasing the trophies..
Seems Slotmania has caught FSG off guard kabisa they didn't have any clue the bald baddest gaffer is capable of bringing balance haraka kiasi kile its like they pinned thier hope its will like Klopp 4yrs rebuilding then we explode to the summit haha come to think of this and you will realise FSG are caught pant down hawaelewi how to handle Trent demands, Salah or VVD demands sana sana hapa kuna mchezaji atauzwa tu hakuna kingine na ukitazama tupo stocked in the forward line hivyo pale ndio wataanza nako ku raise cash n ku balance the payroll ili ku release funds za kuwalipa the 3 musketeers

YNWA

Captain.

Unakumbuka ule msimu, tulikuwa top of the league at Xmas, then tukapata injury crisis ya CBs (VVD, Gomez & Matip wote wakapata injuries), FSG wakaishia kumpa Klopp Ozan Kabak and yule Davies from the championship, kile kipindi ndiyo ilitakiwa LFC fans wajue wana owners wa namna gani, maana the TITLE was on the LINE, FSG wakaona kina Kabak watatuvusha, yaani Kabak & Davies were good enough to cover for VVD and kina Matip, na mwisho wa siku waliokuja ku-save our season ni kina Nat Phillips.
 
Uncle wachezaji wa kiingereza wao wamejiweka as exceptional. Ndio maana ni rahisi sana Lfc kumuachia Salah lakini inaweza kuwa ngumu kumuachia Trent. Na ndio maana zilipoibuka taarifa za Salah kutokutaka kuongeza mkataba wengi walisupport aondoke wakiongozwa na Carragher, reason behind they are more selfish na wanasupport sana vya kwao kwanza

This is not true.
 
Captain.

Unakumbuka ule msimu, tulikuwa top of the league at Xmas, then tukapata injury crisis ya CBs (VVD, Gomez & Matip wote wakapata injuries), FSG wakaishia kumpa Klopp Ozan Kabak and yule Davies from the championship, kile kipindi ndiyo ilitakiwa LFC fans wajue wana owners wa namna gani, maana the TITLE was on the LINE, FSG wakaona kina Kabak watatuvusha, yaani Kabak & Davies were good enough to cover for VVD and kina Matip, na mwisho wa siku waliokuja ku-save our season ni kina Nat Phillips.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Days goes really fast brother.
I actually forgot akina Kabak walahi hatuna wamiliki hapa tuna vituko wachumia matumbo yao.
Twice hawa mabwana chini ya Klopp wameshindwa kuona hii ni fursa ya kuchukua ubingwa wanakomaa na wage control my foot...
Aje Musk japo nae bempari lakin hua hakumbali kushindwa kuliko hawa clueless dudes from America..
Kwa utajiri wa Musk Liverpool ingefika mbali sanaa.

YNWA
 
ISAK ?????? If you're talking about a proper NO.9, ......This lad is Electric, Anakupa kila kitu Everything, The pace, The Intelligence, The ability to finish from anywhere. In a Liverpool shirt .
Game ya Isak, haiko mbali sana Nunez (style of play), especially wakati yupo Benfica.

Isak game has evolved, wakati Nunez ameenda backward SANA.

Kuna slight chance, Isak asinge-hit the ground running at LFC, history has proven in recent times kuwa we're not a tailor made club for STs kama Isak, chance ya Cunha Or Duran kufanikiwa at LFC ni kubwa sana kuliko Isak, though he has everything unachohitaji kutoka kwa a flat-bully ST.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Days goes really fast brother.
I actually forgot akina Kabak walahi hatuna wamiliki hapa tuna vituko wachumia matumbo yao.
Twice hawa mabwana chini ya Klopp wameshindwa kuona hii ni fursa ya kuchukua ubingwa wanakomaa na wage control my foot...
Aje Musk japo nae bempari lakin hua hakumbali kushindwa kuliko hawa clueless dudes from America..
Kwa utajiri wa Musk Liverpool ingefika mbali sanaa.

YNWA
KITAMBO SANA, NA WATU WAKASIFIA , SIJUI WALIPOTELEA WAPI HAWA WACHEZAJI KOBAK NA DAVIES😂
 
Game ya Isak, haiko mbali sana Nunez (style of play), especially wakati yupo Benfica.

Isak game has evolved, wakati Nunez ameenda backward SANA.

Kuna slight chance, Isak asinge-hit the ground running at LFC, history has proven in recent times kuwa we're not a tailor made club for STs kama Isak, chance ya Cunha Or Duran kufanikiwa at LFC ni kubwa sana kuliko Isak, though he has everything unachohitaji kutoka kwa a flat-bully ST.
Hii ni football kila mtu ana simamia kile anachoamini, Na kila mtu ana kipimo chake cha kupima Mchezaji mzuri /mbaya its football.

Think about the sheer volume of chances this team creates- Isak leading the line, with that kind of service - It would be UNSTOPPABLE!!!!
 
KITAMBO SANA, NA WATU WAKASIFIA , SIJUI WALIPOTELEA WAPI HAWA WACHEZAJI KOBAK NA DAVIES😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Yaani Kabak leading the line tupambane na Kipara mwenye akina Diaz, Walker kazi kazi sanaaa...
Unajua hua tunasahau sana vituko vya FSG pale timu inafanya vyema kama sasa ama wakati wa Klopp lakin ukiangalia kwa kina usajili wao ulivyo zigzag utaona tuna jokers asilimia mia aisee...
Tutakua salama siku hawa FSG wakiuza hii klabu pendwa.

YNWA
 
Hii ni football kila mtu ana simamia kile anachoamini, Na kila mtu ana kipimo chake cha kupima Mchezaji mzuri /mbaya its football.

Think about the sheer volume of chances this team creates, Halafu ISAK leading the line - It would be UNSTOPPABLE.
Kwenye technical side ya football, hakuna unachosimamia/opinions, ni kuna facts.

Kabla, hujatamani Mchezaji wa team nyingine, zingatia kwanza style of play/shape/structure ya team yako, na upime kama ata-fit right in, or NO.

Kuna TOFAUTI kubwa sana kati ya STRIKER na CENTRE FORWARD.

For the past 13-14 years, LFC imekuwa ni point/ground ya mafanikio kwa centre forwards, unaweza kuanzia kwa Torres, Suarez, Firmino, Jota, na kwa kipindi hichi tumekuwa na "Strikers" (pure number 9s) ambao wame-fail ku-deliver, unaweza kuanzia kwa Caroll, Balotelli, Borini, Lambert, Benteke & now Nunez (Origi can be a special case). ndiyo maana nikasema inaweza kuwa ni tradition/way of life at LFC.

NOW, for the past 8 years, our main goal scorer amekuwa ni Salah, meaning our main source of goals ni Salah, sasa hizo volume numbers za chances unazozungumzia, source/main benefitor wake ni Salah, hencs ili ku-mantain hiyo shape/structure, unahitaji a centre forward, sambamba na Salah, a forward who can move the pitch/pass/dribble/run with the ball/press/assist/drop deep etc (Firmino & now a fit Jota), huhitaji an OUT & OUT ST, because he will limit Salah's movements, na hivyo ku-limit our chance creation volumes, last 2 season we had to put Salah on the touch-line, ili kuruhusu space kwa Nunez, what happened? volume ya chances creation ilikuwaje? msimu huu Salah ana-post hizo numbers kwasababu ipi? Salah hachezi kwenye touch-line now, ni kama yule Salah wa kabla ya Nunez, na siyo kwamba Nunez ni m-baya, hapana, but hakuna kocha anaweza kupoteza/limit numbers za Salah kabisa kisa Nunez or any other ST.

Messi, alifanya kazi na Etoo, Villa & Suarez kwa ubora zaidi, but he struggled kiasi na Zlatan, why?

Main source ya goal at City, ni Haaland, what happens kama Salah akienda pale? maana Salah ana-post numbers kama za Haaland at LFC? unaweza kuwa na 2 main sources za goals? how can you channel your chances creation volumes? Salah akienda City itabidi a-sacrifice his goal- scoring volume, ili kuwa second feeder kwa Haaland, because attacking system ipo well structured around Haaland at City, Nunez alivyokuja LFC, japokuwa ni Out & out ST he was forced to surrender his box presence ili kuwa second feeder kwa Salah, na ili kuleta balance Salah had to be put in the touch-line ili kutengeneza an Out & out 3-man shape upfront, ambayo ili-limit game ya Salah, na ku-limit game ya Nunez, because aliyetakiwa kuwa feeder wa Nunez, ni Salah, but we couldnt afford to risk that kwasababu he's our MAIN goal-scorer, so we had to find ways ya ku-make that issue work, na experiment haikufanikiwa, it happens in football.

Cunha, atafanikiwa, because game yake ni kama ya Firmino/Jota, perfect CFs for Salah, Trent & our MF.

Duran, atafanikiwa, because he's not the "last" man kwenye attacking actions, (kama Origi).

Isak, ni main man, for him kuwa on top of his game, ni lazima structure yako ya mashambulizi iwe AROUND him, he's the MAIN man at Newcastle, at LFC kama Salah bado yupo, hawezi kuwa Main man, because hana numbers za kumzidi Salah, mpaka useme u-sacrifice game ya salah kwaajili yake, hivi ni vitu vidogo sana kuelewa.

Newcastle wanacheza game tofauti na LFC, na sisemi kuwa Isak hawezi kufanikiwa at LFC, but atafanikiwa, but you need wingers like Diaz alongside him, siyo monstrous goal-scorers kama Salah, its so easy kwa Diaz kuwa feeder wa Isak kwasababu he's not a goal-scoring winger, but ni ngumu sana kwa Salah kuwa feeder wa Isak, kwasababu kwa numbers Salah yupo kwenye sayari yake, so kama unamsajili Isak, uwe na plan in place, i dont know kama Club ilimsajili Nunez ikijua kuwa Salah is slowing down, or what, but they had to re-shape Nunez game ili aende na matakwa system and thats where it started to go wrong.

Club ilikuwa inamuangalia kwa ukaribu sana Marmoush, ni aina ya CF ambaye Slot anamtaka, i dont know kama ataenda City, but huyo ni moja ya forward club ilikuwa inamtazama, hii inakupa picha gani?

Isak ni world class ST, he's a £100m player, i agree, but with Salah at LFC, can he be the main man? and its funny huu msimu ndiyo ameanza ku-hit his top form, game yake ime-evolve a lot this season, numbers alizokuwa ana-post at Sociedad or kabla ya hapo kwenye his loan spells wakati yupo dortmund hazikuwa za kushtua, Newcastle had to take a gamble, £70m on a striker with 33 goals in 103+ outings ni gamble ambayo hakuna big club inge-take, now sample size yake at Newcastle ni 44+ goals in 65+ games hizo ni numbers za a world class ST, na ni kwasababu Howe ametengeza structure yake yote around him, na he's delivering, but kabla ya hapo, his numbers zilikuwa sawa/close na Nunez, maana ni same cloth, but Isak ame-evolve, Nunez ame-stuck, it happens in football.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom