Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

asante mkuu. ngoja tuanze kuandaa suti kushangilia ubingwa. 😂. vijana wanapambana sana aisee. leo ilikuwa kipimo. waliokuwa wanapiga kelele hatuna DM oohh hamna CB sijawasikia sijui watakuja na issue gani tena ?😂.

Mkuu ni kawaida huwa inatokea Mtaani Demu analiwa na kila Mtu lakini wewe akakukomalia ukaweka mpaka hela na bado akakataa! Kukukatalia wewe haimaanishi kiwa demu katulia na ni Wife Material.

Kumbania Arsenal goli hata moja na kuruhusu goli mbili kwa Bournemouth na Crystal Palace ni sawa na Demu kumbania GSM akaenda kumpa Msela tu.

Hivyo kumlamba shingo Kaka yetu Arsenal haimaanishi kuwa ndiyo hatuna tatizo la DM au CB.

Tatizo bado tunalo kubwa na linahitaji kufanyiwa marekebisho.
 
😂😂😂
20250901_130503.jpg
 
Frolian Wirtz vs Arsenal


Florian Wirtz alikuwa ana style ya kipekee ambayo mara nyingi haionekani kwa macho ya kawaida ila impact yake ipo kila sehemu ya game

1. Invisible Playmaker Role

Wirtz alicheza kama “invisible link” – yaani hafanyi kazi kwa mbwembwe kama dribbler anayeua mtu mmoja mmoja, bali anasoma spaces. Ana intelligence ya kuona mapengo madogo kati ya lines na ku-occupy zone ambayo inavuta defensive shape ya adui.
👉 Ndiyo maana mara nyingi unadhani hayupo, kumbe yeye ndiye anaandika script ya game.

2. Off-the-ball Movement

Moja ya strengths kubwa za Wirtz ni movement bila mpira:

Alikuwa anaingia kati ya defensive lines (katikati ya CB na DM) na kusababisha Rice + Zubimendi washindwe ku-stay compact.

Hata kama alikuwa hapokei pass, presence yake ilikuwa inafanya backline ikae restless, hivyo ilikuwa inarahisisha kazi ya Macca na Grav kushinda control.

3. Positional Discipline

Szoboszlai akipewa jukumu la half-right space, mara nyingi ana freedom ya kusogea na kuchukua risk. Wirtz, tofauti yake, anakaa disciplined sana kwa structure. Ndiyo maana tuliwaona Macca na Ekitike waki-off sub, lakini Wirtz anaachwa: kazi yake si kukimbia zaidi ila ilikuwa ni kuweka balance.

4. Tempo Control

Wirtz ana uwezo wa ku-decelerate na ku-accelerate game kulingana na pressing ya Arsenal. Hii iliwafanya Odegaard na Rice washindwe kusukuma line kwa confidence. Hapo ndipo unagundua Liverpool walikuwa wanadictate tempo kwa akili, siyo kwa nguvu.

5. Psychological Impact

Kwenye tactical view – presence ya Wirtz inafanya opposition washindwe kujua nani exactly wa kufocus:

Ukimfuata sana, anakufanya expose kwenye wings.

Ukimpuuza, anapata pass ndogo na kutengeneza pre-assist pass.

Kwa hiyo critics 😂
wanaosema “hakuonekana” wanadhani visibility = effectiveness. Ila kwa tactical analysts, contribution ya Wirtz ni structural.
 
🇸🇪 #LFC have been trying to sign Alexander Isak for almost nine years.

This is an article from 2016…

And now Michael Edwards finally has his man.
IMG-20250901-WA0028.jpg
 
Atleast there is an improvement.

Kerkez with classy tried hard to pin Madueke,
Konate step up yesterday great game from him,

Vvd what can i say, it's a reason he is our captain. Good game vs NUFC and vs Arsenal.

As a said how Arsenal will come, and they did the same. Arsenal walianza na 7 defensive minded players it was a mid block to low block system, and i expected that why? Arteta alishajua kucheza Anfield kutokufungwa na application yake ikawa hiyo hiyo. LFC wakaja na kinyume na Arsenal with seven offensive minded players. Karata ya kwanza kwa Arsenal ilikuwa kutumia strength yao (Set pieces) kupata goli/magoli kisha warudi kuzuia na plan ilikuwa kupitia pembeni kwa Madueke au Martinelli, somehow walifika goli but we were to solid defensive as system and as players. Mkiwa uwanja hatua ya kwanza kumshinda mpinzani sio mbinu zako ni kujitoa 100%, kushinda aerial duels, na 2nd balls kisha mpira ukirudi chini mnaanza kutumia tactics.

Kudos kwa Szobo & Kerkez walijitoa sana kuwapin Maryinelli na Madueke. Konate wow wow wow what a game he had yesterday, alirudi kuwa Konate yule wa 1st round of last season. Kwa nini tunasema we need CB? Kile kilichotokea dk 79' Konate hard to go throughout the season without missing games. Meanwhile Salah has missed 16 games since his arrival to LFC.

Again nilipenda kuona Gravern akiwa included kwenye rest defense system na last two games tuliona changes kama spaces kupunguzwa between two lines (defense & MF) Yesterday same applied.

Game was fear enough to go even 0-0,

Nashawishika kuamini RB might suit Szobo kuliko MF, His Pace, Energy, ball carrying ni big option kwa LFC as RB.

Jones come in and chsnged MF rhythm, Macca had a bad game yesterday, Wirtz second half was brilliant. The challenge with Wirtz is "fans expectations", Majority tunahitaji No.s from him, Key Passes, Chances created, Assists & goals. Im waiting too.

Ynwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom