🔥🔥🔥🔥Apewe maua yake.... Huyu dogo anajituma mno hakika Ile bei yake RB Leipzig ilikua sahihi.Jamaa anacheza RB kama ndio natural position yake.
Quote
🤣🤣🤣🤣Leo kitaa kumepoa sana aisee maana wengi wa Arsenal walikua na matokeo mfukoni na ilikua wazi maana kama Newcastle tu wakiwa pungufu Hali ilikua vile sasa kwa Nini Arsenal wasiote ushindi 🤣🤣ushindi wa leo mzuri sana maana umewakata kidomodomo arsenal wamezoea kuja anfield kutafuta draw halafu wanavimba mtaani
ila naomba nielekezwe kama mtoto wa darasa la tatu..... majukumu ya wirtz ni yapi hasa? na mpaka sasa hv tunarate vp utekelezaji wake katika hayo majukumu yake
Kipara hana amani bila shaka haya mapumziko kwake ni ahueni arudi tena kwenye kuchora upya ramani ya msimu huu.Hongera LiverpoolFC kwa kuwa bingwa wa EPL msimu wa 2025/2026
Gentleman act.
Well deserved.
Kelele zilikuwa nyingi sana, tukaamua kuwaacha wapige kelele zao. Walitutisha na set pieces na kona zao 😂, kumbe hakuna kitu cha maana!🤣🤣🤣🤣Leo kitaa kumepoa sana aisee maana wengi wa Arsenal walikua na matokeo mfukoni na ilikua wazi maana kama Newcastle tu wakiwa pungufu Hali ilikua vile sasa kwa Nini Arsenal wasiote ushindi 🤣🤣
Florian ni kiungo mchezeshaji. Hajapata kuelewana vyema na wenzie hivyo apewe muda atakaa sawa kama ulivyoona leo Kerkez amejitahidi kiasi Fulani.
YNWA
EPL KUGUMU SANA, kila timu inauwezo.Wanangu Man city na kipara watafute code mpya hii ya sasa imeshakuwa decoded.