mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 955
- 1,552
🤣🤣🤣🤣 oya na hizo ndevu watakuwa ndugu hawaJoe gomez namfananisha na wolverine kwenye X Men
🤣🤣🤣🤣 oya na hizo ndevu watakuwa ndugu hawaJoe gomez namfananisha na wolverine kwenye X Men
We kenge, Frimpong ni injured, trat alikimbia na Bradley hakua fitMbona Ssoblaiz Sasa hivi anachezeshwa nyuma?
Wewe una hali gani huko kwako?Ninyi kwanini mmekuwa vilaza hivi siku hizi ?,Kweli kuku kishingo mnashindwa kuwabonda hawa pimbi Arsenyani muwazibe midomo ? ,naanza kuwashusha thamani kabisa ,piga hizi pimbi za Arsenyani zitutolee kelele humu jamii forum
Hahaha. Hakikisha hao mbusii sisini wako salama.We kenge, Frimpong ni injured, trat alikimbia na Bradley hakua fit
Jamaa anacheza RB kama ndio natural position yake.View attachment 3460530
Mkata umeme 🤓🤓🤓jumatatu kazi kazi na Leo Jumapili kahakikisha pointi 3 zinabaki Anfiled 🔥 🔥 🔥
YNWA
Jamaa anastahili appreciates sanaJamaa anacheza RB kama ndio natural position yake.
Quote
This season will be a two horses race i.e. Arsenal vs Liverpool
About Next Game 👇
So, If Arsenal win, then you'll be a champion end of May.
But If Liverpool win, we'll be a champion end of May.
But, If it ended up by levelling the score, means there's an equal chance between Liverpool and Arsenal to be a champion end of May.
That's my observation
Leo tunataka points zetu tatu tu wazee. Mambo yasiwe mengi.
Poa tu bro. Next season tunazitaka hizi points.Mkuu habari yako 🖐️
Inafahamika kabisa bingwa msimu huu ni Arse8 labda aukatae tuHongera LiverpoolFC kwa kuwa bingwa wa EPL msimu wa 2025/2026
Sijasoma hadi mwisho ila najua umetoa madini muhimu mnoooGame Management
1. Arne Slot aliwapa Arsenal illusion of control kipindi cha kwanza, lakini akaja na adjustments kipindi cha pili. Hii ni mbinu ya makocha wakubwa, wanapima nguvu, kasi na udhaifu wa mpinzani kabla ya kushambulia kwa makini
2. Pressing Triggers: Liverpool walikuwa smart kwenye pressing, hawakukimbia hovyo, walichagua sehemu sahihi za kushambulia (kama makosa ya kiufundi ya Arsenal na backline yao).
3. Flexibility ya Kikosi: Ni jambo kubwa kwamba wachezaji kama and Szoboszlai, Mac Allister, na Endo wanaweza kubadilika nafasi kutokana na mahitaji ya mechi.
Kuhusu Psychology ya Timu
Liverpool wameonyesha mentality ya mabingwa: hawakutetereka wakiwa nyuma au kushindwa kudhibiti mpira kipindi cha kwanza, bali walibaki focused hadi walipata nafasi.
Hii tabia ya "predator instinct" (tabia ya uwindaji ) ndiyo hutofautisha timu ya kawaida na timu ya ubingwa.
Defensive Solidity: Ingawa wameimarika nyuma, bado kuna changamoto ndogo kwenye set-pieces na transition defence. Wakiendelea kurekebisha hili, watakuwa bora zaidi.
Chemistry ya Wachezaji: Baada ya mechi 10–12, squad cohesion itakuwa juu zaidi kwa sababu wachezaji wapya watakuwa wamezoeana vizuri. Hapo ndipo Liverpool inaweza kuwa unstoppable.
Squad Depth: Rotation ya wachezaji itakuwa muhimu sana msimu ukiwa mrefu – hususan kwa mashindano matatu (EPL, FA, na Champions League).
Liverpool wanapokuwa nyuma si rahisi kupoteza kwa sababu wanajua ku-control tempo ya mchezo na kugeuza kasi.
Mabeki wa pembeni wanabaki kuwa “playmakers” wa kisasa, wakitoa ubunifu hata kama si viungo wa kati.