Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Waje tuko tayari
lfc-xi-vs-arsenal-v0-gv99o9v06dmf1.jpeg
 
Huu utopolo msimu huu haumalizi top foo,
Tupo hapa...
#CFC 🔵🔵🔵
HAMUYIOGOPI CHELSEA???
 
Kipara kosa kubwa alilofanya na naamini atalijutia sana ni kuendelea kubaki Epl baada ya Man City kufanikiwa kubeba Uefa.
Huko anakoelekea hakuna rangi ataacha kuona.
Yani hiki kitu kinanishangaza sana. Miaka miwili iliyopita kila mechi City itakayocheza mtu unajuwa wazi kwa uhakika itashinda. Mambo hubadilika sana.
 
Sisi tunae mtaka ni Guehi tu, huyo Isak hatuna uhitaji nae saana maana Ekitie yupo.
 
Hii gemu yenu munapakatwa mapema saana ..hamuna timu humu ni takataka kibaooo beki ndio kabisaa hakunaa
 
Niambieni online radio inayotangaza mechi ya arsenal Leo maana ratiba ya kuangalia imenibana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom