Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwenye kikosi chenu cha leo hakuna mchezaji hata mmoja wa kingereza aliyeanza, heri hata na sisi tumewaanzisha watatu...

BTW, sion tîmu yoyote ikishinda hapa hata goli likipatikana linachomolewa.
 
Kipara kosa kubwa alilofanya na naamini atalijutia sana ni kuendelea kubaki Epl baada ya Man City kufanikiwa kubeba Uefa.
Huko anakoelekea hakuna rangi ataacha kuona.
Yule alitakiwa aende Saudi Pro League baada ya msimu wa 2023/2024 akatawale na huko huku akivuna mipesa mingi...

Kwa kinachomkuta sasa hivi ni anaikaanga heshima yake aliyoijenga kwa miaka nane.

Sasa hivi City akicheza na timu yoyote kati ya hizi Chelsea,Liverpool,Arsenal,Tottenham yeye ndio anaingia uwanjani kama Underdog, na wakati misimu miwili nyuma kila timu kwake ilikuwa ni underdog wakiwemo hao wakubwa.

Sasa hivi mkubwa pekee ambaye akicheza na Man city mechi inakuwa 50/50 yaan wanaonekana kulingana nguvu ni Manchester United.... tena hata United muda si mrefu itaimarika na kuwa bora kuliko city.

Guadiola alikosea sana kuendelea kubaki Uingereza, sijui alibaki kutafuta nini na wakati pale Barcelona alivyopata tu mafanikio makubwa kwa haraka haraka akakimbia.
 
Ninyi kwanini mmekuwa vilaza hivi siku hizi ?,Kweli kuku kishingo mnashindwa kuwabonda hawa pimbi Arsenyani muwazibe midomo ? ,naanza kuwashusha thamani kabisa ,piga hizi pimbi za Arsenyani zitutolee kelele humu jamii forum
 
Na strikers zenu hizo ovyo ovyo za kuunga kwa gundi ya soltape .Mara Ekitike mara leka Dutigite ,aisee Chunga sana
 
Na strikers zenu hizo ovyo ovyo za kuunga kwa gundi ya soltape .Mara Ekitike mara leka Dutigite ,aisee Chunga sana
Livepoor waogope sana na inabidi uwaheshimu sana ao jamaa wanacheza kimkakati sana ukiskia kucheza kibigwa ndio uko sasa hakuna bwebwe nyingi Arsenal kapiga Kona kibao lakini kaondoka patupu Liverpool wakichanga karata zao vizuri wanabeba tena ubigwa
 
Screenshot 2025-08-31 at 20.36.38.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom