Alicheza RB utafikiri ni nafasi yake asiliaSzbo any day of the week didn't put any wrong foot despite playing orthodox RB vs Magpies ....
YNWA
KaribuniLiverpool mmejipanga kwa set pices? tuna uwezo wa kushinda kwa fine margins, inshort tunashinda kivyovyote, this time around we are very confident as arsenal fans, tunaweza kushinda mechi yoyote mahali popote.
Naikumbuka moja ya 1996/97 tukiwa na forward wa kijerumani....tuliwapiga 4-2.Premier League classic za Liverpool na Newcastle, always all the way since 1996
Hizo enzi zimeshapita, hayo mambo yalikuwa yanaletwa na kikosi kifinyu, kwa sasa ni full depth, msimu huu hata aumie Saka / Ø huwezi kuona shabiki wa Arsenal akilalamika, anapigwa yoyote, No excuseShida kubwa ya arsenali ni consistency ya ushindi. Wanaweza wakaanza vizur sanaa ila wakaja kupoteana kipindi ambacho walitakiwa kufanya vizur..
Kinachokosekana ni winning spirit hakuna kwa wachezaji hakuna watu ambao wataenda na kuamua kuipambania timu kufa na kupona,
Hii spirit iko ndani ya liver, laiti tungekuwa na resource za kutosha kutoka kwa wamiliki kipondi chote cha klop nakuambia tungekuwa ni wakushinda ligi back to back
Tunashinda, poleni in advance.Karibuni
1996 Stan Collymore alifunga dakika za mwishoni mechi ikaisha 4-3 baada ya funga nikufunge, 1997 Robbie Fowler "the God" naye alifunga dk za mwishoni mechi ikaisha 4-3Naikumbuka moja ya 1996/97 tukiwa na forward wa kijerumani....tuliwapiga 4-2.
Mpira hauchezwi JF.Tunashinda, poleni in advance.
🤣🤣🤣🤣 Arsenal hamjawai kua na changamoto mzunguko wa kwanza wa Ligi ... nyie hua ni pale mwezi wa pili mpaka wa Tano ndio hua mnapata sana shinda..ngoja tuone msimu huu hamna pa kujificha Arteta kapewa wachezaji mapema aliowataka kuimarisha kikosi.Liverpool mmejipanga kwa set pices? tuna uwezo wa kushinda kwa fine margins, inshort tunashinda kivyovyote, this time around we are very confident as arsenal fans, tunaweza kushinda mechi yoyote mahali popote.
Happy Hunting Grounds for the Mighty Red Army 🔥🔥
Jamaa ni kilaka wa timu popote yupo hata false 9 aliwai chezea. Hii jezi Namba 8 anaitendea hakika.Alicheza RB utafikiri ni nafasi yake asilia