Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Keep calm, good things are there to come.

Ndio Silaha tuliyoichagua, muhimu funga mengi kutuzidi otherwise haiishi mpaka iishe.

Rest defense ya Vvd Konate and Kerkez haija work so far. Last two games errors za Konate na Merkeza zimeleta madhara. Let Slot use Gravern as his rest defense alongside Vvd and Konate, Kerkez offensive tutamfaidi mno mno mno kuliko hii rest defense yake ya Vvd Konate na Kerkeza. Vvd anaangushwa na kulia na kushoto.

Anyway having Gravern back jana walau tuliona spaces zilipunguzwa unfortunately Gravern played with auxiliary RB ikamuongezea kazi na uwepo wa Mr. Confidence Jones kuliongeza over work. I wish to see Bradley or Gomez as RB plus Gravern and Macca/Szobo.

We are in the right truck so far. We can still win this leagues once our new faces will click.

With Isak & Guehi, how dangerous we will be??

Arsenal we are coming for you, with our weakness we will fight like a champion.

Ynwa.
 
Wirtz tunaanza lini kunmanga ? Kwenye mapambio yenu humu simuoni akitajwa kabisa ! Over £100m zimeenda na mafuriko ?
 
Kama Chelsea wanamfuatilia Fermin, basi naweza kudhani hawamtafuti Simons wa Leipzg Kuna taarifa kwamba Elliott anavutia baadhi ya timu za Premier League, lakini sioni kama yeye mwenyewe ana hamu nazo. sitashangaa kama ataamua kubaki.

Maana Leipzg inasubiri hela kutoka kwa Chelsea ili itume bid kwa Liverpool kwa ajili ya Elliot
 
Munashinda kwa shida sana hadi mubwebwe na ndio msimu umeanzaa kweli hii ni timu ni takataka haswaaa
 
Jana Magpies walikuja na intensity kubwa, direct balls na physical duels na ndio maana kulikuwa kunaonekana kama kuna vurugu fulani kuliko calm build - up na ndio maana tulionekana kama tunakosa utulivu na kazi yetu ikaonekana kama tunafanya defending tu kwa muda mrefu
 
Ekitike na Wirtz wanaingia EPL na wametoka kwenye ligi ambayo physical demand si kubwa sana. Physical demand ipo lakini sio kubwa sana kama EPL

Halfu Ni wembamba na ndio maana mabeki wa Newcastle walikuwa wanawafuata na kuwatesa kwa “body contacts.

Ekitike: Afanye kazi kwenye kuutunza mpira chini ya presha Yaani acheze na mgongo kwa beki awe anafanya ujanja wa kuomba fouls ili awe anawapanikisha kiasi

Wirtz anatakiwa ajifunze kutumia akili kuliko nguvu. Awe anafanya quick release (pasi za haraka) na movement kwenye half-spaces badala ya kusubiri “luxury touches”.

Slot anaweza akaona na kutafuta namna ya kumlinda kwa kumchanganya na viungo wabishi ( Macca/Szobo) karibu yake) kumsaidia kujijenga kupunguza ball luxuries zisizo na ulazima

Mazoezi ya gym ya kutosha kwa vijana baada ya miezi 6 hivi watakuwa wamejenga “EPL body”.
 
Newcastle wamemuonyesha Slot na jopo lake preview ya changamoto za “physical EPL football.” Everton yawezekana ikaleta mtihani mwingine wa aina hiyo. Ushindi utategemea vijana wetu kujifunza kuchanganya akili + mwili mapema, na Slot anapaswa kuwasimamia kwenye game management.
Winning mentality kwa Liverpool ni kubwa sana kwa sasa na wameshajua namna ya kutulia under presha. Ishu kwenye physical battle sasa hapo ndipo kuna kipengele.
 
Hakuna anayewachukia ndiyomaana munashinda mpaka goli 6 na 5 kwenye baadhi ya mechi kila msimu.

Issue ni kwamba hamuna Consistency ya ushinda pia Arteta anafundisha mpira tu lakini anashindwa kufundisha discipline ya uwanjani ndiyomana red cards ni kitu cha kawaida kwenu.

Hebu kuweni na consistency ya kushinda back to back muone kama mutaona hiyo kitu kuchukiwa.
Shida kubwa ya arsenali ni consistency ya ushindi. Wanaweza wakaanza vizur sanaa ila wakaja kupoteana kipindi ambacho walitakiwa kufanya vizur..

Kinachokosekana ni winning spirit hakuna kwa wachezaji hakuna watu ambao wataenda na kuamua kuipambania timu kufa na kupona,

Hii spirit iko ndani ya liver, laiti tungekuwa na resource za kutosha kutoka kwa wamiliki kipondi chote cha klop nakuambia tungekuwa ni wakushinda ligi back to back
 
FB_IMG_1756227143673.jpg
 
Liverpool mmejipanga kwa set pices? tuna uwezo wa kushinda kwa fine margins, inshort tunashinda kivyovyote, this time around we are very confident as arsenal fans, tunaweza kushinda mechi yoyote mahali popote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom