Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hizo sababu hazitakosekana maana marefa na PGMOL na FA kila mtu anajua wanatuchukia. Sisi mpango wetu ni ule ule wa kila msimu, kufunga kila timu japo tunaonewa.

Hakuna anayewachukia ndiyomaana munashinda mpaka goli 6 na 5 kwenye baadhi ya mechi kila msimu.

Issue ni kwamba hamuna Consistency ya ushinda pia Arteta anafundisha mpira tu lakini anashindwa kufundisha discipline ya uwanjani ndiyomana red cards ni kitu cha kawaida kwenu.

Hebu kuweni na consistency ya kushinda back to back muone kama mutaona hiyo kitu kuchukiwa.
 
Ashukuriwe muumba St. James park tumevuka salama. ila tukiendelea na huu udwanzi sijui itakuwaje tukikutana na Brighton, Crystal palace, Fulham, Aston Villa halafu kuna pale City Ground kwa Nuno na kijana wake Chris Wood, kubwa la maadui Everton Tottenham ya Thomas Frank nayo ndo imekuwa Hot Spurs kweli kweli. huu mwaka tutashuhudia mengi aisee

Hivi EPL kuna Timu ipo complete 100% kila eneo?

Kwanini hayo madhaifu ya wengine hamuoni kuwa nayo ni tatizo kwao ila minaona ya Liverpool tu ndiyo tatizo kwenye Ligi?

Hata Newcastle ingelikuwa bado hatujacheza naye ungemuandika hapa na kusema 'TUKIKUTANA NA NEWCASTLE UNITED HATUTOBOI' so as to fit your narrative.

Timu yetu ina udhaifu kwenye Defence lakini collectively hatupo wabovu kiasi hiki minachoiandika.
 
1756186562253.jpg
 
Absolute chief! He was very impressive today. Newcastle wametufunga na magoli yao ya ajabu golikipa ndio anapiga free kick 😂 . And with Frimpong absent, they decided to exploit that space and push through.
This tactic of the goalkeeper taking free kicks, I see even Thomas Frank uses it a lot

For their equalizer, I think the high line punished us again.
 
Aisee kila nikitazama epl naona africa kuna ujinga mwingi .. ona viwango vya hao watoto wa liver na yule wa Newcastle katika umaliziaji yaani balaa tupu
I usually don’t watch African football because they play like high school kids. Big teams must win, even if it’s through blatant favoritism, and then there’s the issue of team officials believing in witchcraft in football.

Those are the three things that make me hate our football.
 
I won’t judge a player after just two matches, the judgments should start from December.

Wirtz makes very good runs, it’s just that his teammates haven’t yet understood his style and that’s something that can be taught. I have no worries at all.
You nail it Joh! Wirtz the way he run the way he struggles to catch the ball through its enough to say he's good player

Yesterday night every back opponent pass he block it by offensive and defensive spinning everywhere whenever we have a ball or not. He is a professional player let's give more time
 
You nail it Joh! Wirtz the way he run the way he struggles to catch the ball through its enough to say he's good player

Yesterday night every back opponent pass he block it by offensive and defensive spinning everywhere whenever we have a ball or not. He is a professional player let's give more time
Some people have already started suggesting that in the match against Arsenal he should only play the second half, but doing something like that while he’s still trying to find his performance would completely kill his confidence.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom