Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

huyu eddie howe anawafundisha wachezaji wake mpira mgumu mno kupata matokeo.. hajui kurahisisha mambo yye.
 
Hahah hii game imekaa kimizimu sana eti man of the match kachukua RIO NGUMOHA, dogo kacheza dakika 8 tu na mpira kagusa mara tatu tu.
 
LADDER40.png
 
FSG, Michael Edwards, Richard hughes na huyu mzee kipara wamezamilia kutuua na presha msimu huu wakati league ndio kwanza inaanza, tulianza usajili vizuri sana ila kumalizia nafasi mbili tu za CB na DM ndio imekuwa shida? Hawa jamaa wapo serious kweli? Saga ya Isak sitaki kuwalaumu wao lakini Deal kama ya Guéhi tunalichelewesha wenyewe tu mpaka city wanataka kuhijack na soon itatucost, hivi £ 40M ni ya kutushinda kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom