Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,272
Na mwenyewe anakuja kuwa legend Anfield
Concern yangu ni kwenye mechi zinazoenda kwenye penatiKua na utulivu Miss Liverpool AB1 kwenye penati sio kivilee lakini kwenye 1 vs 1 huko Kelleher atasubiri sana.
YNWA
Uliona mbappe alivyowagaragaza? 😂😂😂...Haha😃 mkuu Mkuu lile kosi la Argentina CB na full backs zilikuwa zina urefu wa kawaida sana,, lkn nadhani kilichowaweka safe Argentina walikuwa wana viungo wenye Roho ya paka.
Yes mabeki warefu wana umuhimu ndio.
Is this kid better than quansah?Na mwenyewe anakuja kuwa legend Anfield
View attachment 3440907
Daah una gubu aiseeee 😂😂😂😆😆😆Concern yangu ni kwenye mechi zinazoenda kwenye penati
Kwanini tuuze mtu anaweza kudaka penati halafu tumeacha watu wote ambao ni incompetent kwenye penati
Unasepa tuKonate kwa sasa analipwa 70k kwa wiki anazidiwa mpaka na Gomez 85k kwa wiki
Anataka aongezewe mpaka 200k kwa wiki ila liverpool wanataka wampe 160k
Wewe ndio Konate sasa unafanyaje, Tuwaelewe wachezaji wapo kwenye utafutaji
Aisee mwanamke akiwa na mapenzi na mtu hata awe vipi atamtetea tu, yaani kumlinganisha tu AB1 na Kelleher tayari ni tusi kubwa sana kwa AB1. Yaani sawa na kulinganisha bwawa la nyumba ya Mungu na Ziwa Nyasa hahahahDaah una gubu aiseeee 😂😂😂😆😆😆
I’m waiting to see him play, but if his level is below Quansah’s, it will be a lossIs this kid better than quansah?
Poa poa cgampHii timu msimu huu ita floap
Ila ninachoongea ni ukweliDaah una gubu aiseeee 😂😂😂😆😆😆
Sio Kila mechi ni za penatiIla ninachoongea ni ukweli
Hata Brasil na ubishoo wao wakina Neymar
Walivyoenda tu kwenye mikwaju,Allison akawalaza na viatu.
Yaani Jamaa hawezi kabisa kudaka penati..
Na sio mechi zote hazina penatiSio Kila mechi ni za penati