TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,193
- 18,221
View: https://www.instagram.com/reel/DNSoPVEoG6u/?igsh=MWtxNjh2bHNpOHRjZg==
Oneni Grave anavyoongea aisee
Kuhusu Dominik Szoboszlai kucheza nafasi ya chini zaidi…
Hesabu mechi za penati na zisizo za penati msimu mzima jibu utakipata zipi nyingiNa sio mechi zote hazina penati
Wamsajili Jackson wa Chelsea wamalize hii drama kabla dirisha halijafungwa.Newcastle are now in a position where they have to make a decision on Alexander Isak.
They are still looking for a striker.
[@FabrizioRomano]
We are ready 😀 😀 😀 to warmly welcome the boy.The deal is absolutely on for Marc Guehi.
[@FabrizioRomano]
Na ubingwa unapoteaga kwa points chache hivyohivyoHesabu mechi za penati na zisizo za penati msimu mzima jibu utakipata zipi nyingi
Ni kawaida huwezi kuwa bingwa miaka yote labda wachezaji wasiwe binadamuNa ubingwa unapoteaga kwa points chache hivyohivyo
What fun on that is to play water polo? The whole family 👪 play water polo this fact inst dinayabo
Although his so young... 18 years oldNa mwenyewe anakuja kuwa legend Anfield
View attachment 3440907
No big NoIs this kid better than quansah?
Leoni ni mzuri sana kaka tumpe misimu miwili tu alafu utafurahi mwenyeweI’m waiting to see him play, but if his level is below Quansah’s, it will be a loss
City amechukua ubingwa wa EPL miaka 5 mfululizoNi kawaida huwezi kuwa bingwa miaka yote labda wachezaji wasiwe binadamu