Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Our New Deputy In Town.🔥🔥🔥
YNWA
He should take it slowI guess Slot anataka kuweka identity ya kwake kwa kua hii ya sasa ipo ki Klopp zaidi hivyo ni kama sasa anataka timu isomeke kwa mfumo wake na sio Klopp. Sasa huo mfumo bila kusajili DM kam Rodri au Fabinho hawezi kua salama maana ulinzi panakua wazi sana muda mwingi na ukizingatia mabeki wa pembeni ni kama ma winga vile vile...
Ngoja tuone ndugu japo dalili sio powaa sana mech zote pre season tumeruhusu goli kasoro mech moja tu hivyo hatupo salama kabisa.
YNWA
Gomes should be out of the team right nowView attachment 3440754Yaani Gomez na Konate ni plasitik kabisa.
Gomez ni wa kuuzwa tu hakuna namna na huyu Konate kama hataki kusaini basi apigwe bei dirisha bado lipo wazi
YNWA
Very Lucky he is...Gomes should be out of the team right now
Kila tukianzisha mpira kutoka nyuma mara nyingi niliona tukitumia upande wa kushoto, upande wa kulia haukutumika sanaView attachment 3440744
Salah vs Crystal Palace mmmh not good enough....
Let's wait and see vs Bono.
YNWA
Hakuna uhamisho ulioniuma kama uhamisho wa Fernando, na tangu hapo sijawahi kuumia wala kukasirika tena mchezaji akitaka kuondoka Anfield maana nilikuja kugundua wapo kazini kwa hiyo wanatafuta mafao bora zaidi kwao, ila sisi huwa tunatanguliza hisia mbele😂😂View attachment 3440749
Hatupoi tumoooo😂😂😂😂😂
Hii kama ishu ya Liverpool na Chelsea enzi za El Nino🔥
YNWA
Indy nae simuamini amini😂😂