Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mfumo huo utakusumbua ukikutana na mashambulizi ya kushtukiza.

Una- expose team na kuiweka kwenye hatari ya kufungwa magoli mengi... Reference..Aston villa 7 Liverpool 2 (sarr)
ukiwa na Anchor DM hata ukiwa na fullbacks mbilikimo ili mradi wawe na kasi na uwezo wa kutoa pass/kross kwa ufasaha😄
 
ukiwa na Anchor DM hata ukiwa na fullbacks mbilikimo ili mradi wawe na kasi na uwezo wa kutoa pass/kross kwa ufasaha😄
Hapana, hii Siri liver wameigundua...VVD,KONATE,MATIP,ANOLD
Screenshot_20250813-140215.jpg
 
Watu wafupi ni wabishi aana, ukiwaweka Defence watakuchomesha tu
Ni wabishi lakini kwenye mpambano na striker katiri kadi Zinamuhusu,

Ata viungi Endo ni mzuri mno kuliko szobozlai ila nani anauhakika wa namba Liverpool? Vile vile Elliot yupo vizuri ila tatizo kimo timu inaposhambuliwa kwa Kasi mno option Huwa ni kadi TU kwa watu hao na siyo ubabe.
 
tumebeba epl bila dm - Haina shida kabisa
Nina uhakika kilichotutoa UCL ni Mido ya PSG, Tulikamatika kati mwa uwanja na pressing yao ilikuwa ni balaa mnoooo, Grav na Mac walipoteana, uhitaji wa DM ni muhimu sana, natumai dirisha la January utakuwa usajili namba moja
 
Having Leoni and Guehi, itasokve DM issues sababu Gravern atacheza as a DM with full concentration unlike with two mentalities (DM & Makeshift CB). I don't think kama kuna tatizo kubwa kwenye MF tatizo litatokea kwa Slot mwenyewe na matumizi ya wachezaji. Kwa mf. Kumtua Gravern with less rest even when he is unfit enough while you have natural DM Samurai (Endo).

Kama tutafanikiwa kuwapata, Guehi, Leoni and Isak we are going to defend our 20th EPL.

Tutakuwa na good depth kwenye idara zote, regardless of RW wengi wanatamani kuona replacement ya Diaz, but for me sio haja sana kama tuta secure the above signatures. Jones, Szobo, Wirtz, Ekitike, Rio wote wanaweza kucheza eneo hilo kwa ufanisi. Si lazima wawe starter but only when it needed to do so.

Lets see what will TW give us.

Ynwa.
 
Mfumo huo utakusumbua ukikutana na mashambulizi ya kushtukiza.

Una- expose team na kuiweka kwenye hatari ya kufungwa magoli mengi... Reference..Aston villa 7 Liverpool 2 (sarr)
Ndio mfumo wa Slot japo ana twist kiasi kwa kumhitaji ball retention zaidi na kushambulia pale inapotokea nafasi... mabadiliko ya sasa ni kwamba Slot amecheza pre season yote kwa kutumia man to man tactics ambayo ina wa expose Hawa mabeki wa pembeni hawaelewi wawe wapi na wakati gani japo hata VVD na Konate nao wanatakiwa kusoma movement za wapinzani na watoe maelekezo mapema kwa LB na RB ili kubana mianya pale nyuma. Ukitazama goli la pili la Crystal utaona ni communication ishu ya pale nyuma tazama alipo Kerkez na VVD yaani . Liverpool hatujawai kua salama kucheza man to man hivyo Slot akae na timu yake ya makocha kile walichofanya msimu uliopita ndio hicho hicho

YNWA
 
Why ameamua kuna na huu mfumo ambao ni too risky na unanyima timu space ya innovation?
 
ESPN Club Managers in Europe

1️⃣ Luis Enrique – PSG
2️⃣ Arne Slot – Liverpool
3️⃣ Pep Guardiola – Man City
4️⃣ Xabi Alonso – Leverkusen
5️⃣ Hansi Flick – Barcelona
 
Why ameamua kuna na huu mfumo ambao ni too risky na unanyima timu space ya innovation?
I guess Slot anataka kuweka identity ya kwake kwa kua hii ya sasa ipo ki Klopp zaidi hivyo ni kama sasa anataka timu isomeke kwa mfumo wake na sio Klopp. Sasa huo mfumo bila kusajili DM kam Rodri au Fabinho hawezi kua salama maana ulinzi panakua wazi sana muda mwingi na ukizingatia mabeki wa pembeni ni kama ma winga vile vile...
Ngoja tuone ndugu japo dalili sio powaa sana mech zote pre season tumeruhusu goli kasoro mech moja tu hivyo hatupo salama kabisa.

YNWA
 
Huwezi kuleta mbilikimo apambane na bull strikers kama haland,mbappe,dembele au Mawinga wa baka utakuwa
Haha😃 mkuu Mkuu lile kosi la Argentina CB na full backs zilikuwa zina urefu wa kawaida sana,, lkn nadhani kilichowaweka safe Argentina walikuwa wana viungo wenye Roho ya paka.
Yes mabeki warefu wana umuhimu ndio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom