Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uongozi wa klabu ya Newcastle United umempa taarifa mshambuliaji wao raia wa Sweden Alexander Isak kuwa atatozwa faini endapo atakosekana kwenye mchezo wowote wa kimashindano, kuanzia wa wikiendi hii dhidi ya Aston villa. šŸ”šŸ’°

Pamoja na uongozi kumpa taarifa hiyo Isak, lakini mchezaji huyo kawajibu kuwa hatocheza mchezo wowote na hatishwi na hatua yoyote watakayo chukua dhidi yake.

Wakala wake pia kamwambia Isak asioneshe ishara yoyote ya kurudi nyuma kwenye harakati zake ambazo anaendelea kushinikiza aondoke klabuni hapo.

Mpaka kufikia sasa uongozi bado haujui utumie njia gani kumshawishi Isak arejee kwenye kikosi cha kwanza maana ni mchezaji tegemezi sana kwao na hawana mshambuliaji mwingine mwenye caliber kama yake.

Isak anaitaka Liverpool haijalishi atatozwa faini au vipi lakini hatocheza mchezo wowote akiwa na Newcastle msimu huu amesema hivyo....

Source: [ Alex Craig ]
 
1000109725.jpg

1000109724.jpg

Hawa FSG ni levo zingine yaaani huyu dogo Ben Doak walimnunua mwaka 2022 kwa 600,000 paudi Leo hii wanamuuza 25milioni paudi aiseee..... ndio maana hata waarabu watoe ofa ipi wanasema Liverpool haipo sokoni.

YNWA
 
1755263422055.png


Hatucheki na mtu.
Hatumjui Kerkez ( šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€) wala Vandaiki wala Konate wala nani yule.
Leo ni kipondo tu tunawapa.
 
Arne Slot.

4-2-3-1 on paper ila on the pitch 3-1-3-3, changamoto yake ni hapo kwenye hiyo 1 yatajirudia ya Palace kama tutaenda na Jones as anchor. Faida yake ni time and Space, kwamba mnakuwa karibu karibu, muda mfupi kupenyeza pasi na kwa haraka na possibility ya kupoteza inakuwa ndogo. Hivi ndivyo anaamini Slot katika kunenga mashambulizi yake.

Kuna kuwa na Spaces nzuri kati ya line mbili za mwisho ila gape ipo katika ya line ya tatu na ya pili kuanzia mbele.

Kwa mf. Mechi ya Palace, mstari wa juu ulikua na Gakpo, Hugo na Salah, nyuma yake Szobo Wirtz na Frimpong nyuma yake Jones nyuma yake Vvd Konate Kerkez.

Gape kubwa ni kati ya mstari wa kina wirtz na Jones ndio maana without quality dm ni disaster, kwan unahitaji DM mwenye uwezo wa kunusa harufu za hatari kwa haraka kabla haijatokea monster without the ball kwa mfumo huu. (Eg. Prime Fabinho) Destroyer. Kwa mfumo huu long balls ndio silaha kubwa ya kuuvunja vunja. Ni mfumo wa karaha sana kwa wapinzani na tiba nzuri ya Low Block. Overload ni rahisi kuwa applied kwa sababu ya ukaribu unaojengwa kati ya mchezaji na mchezaji. Ndio maana ukiitumia game ya Palace kama case study, utaona muda mwingi Ekitike Wirtz na Gakpo walikuwa upande mmoja, Salah, Szobo, Frimpong wanakuwa upande mmoja kuna interchanges zilitumika, kwa Szobo unamkuta Wirtz na vuce versa na wachezaji wengine depend na move ya mpira ilikukuta wapi.

It's a good system only if you have disconnecter, destroyer at the middle of the park. Hata build up kuanzia nyuma kuna 3 players wanaanza nayo. Kwa mf. Kerkez Vvd and Jones wanatengeneza triangle shape, au Frimpong Jones Konate kwa Jones muweke Szobo (where it due).

No Gravern, yes suspension, lets go with Macca as 6, najua Endo hawezi kuaminika na Slot. But if Slot Endo and Macca will be my stater today.

No pressure No Huge expectations just win 2-0, Hugo on the score and Wirtz or the assist board.
Top of the table where we ended last.

Ynwa
 
Hata hivyo mika 5 sio miaka yote labda uwe hujui maana ya miaka yote
Nimespecify miaka 5 mfululizo,unless hamjaelewa maana ya mfululizo...sijaweka yote,nimeweka mfululizo.Ila ipo kwenye mfululizo.
Hata Aseno hajachukua ubingwa miaka yote ila mara ya mwisho kuchukua ilikuwa miaka 20 iliyopita.
 
Nimespecify miaka 5 mfululizo,unless hamjaelewa maana ya mfululizo...sijaweka yote,nimeweka mfululizo.Ila ipo kwenye mfululizo.
Hata Aseno hajachukua ubingwa miaka yote ila mara ya mwisho kuchukua ilikuwa miaka 20 iliyopita.
🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom