Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG-20250807-WA0056.jpg

🚨 RB Leipzig are progressing well in talks with Harvey Elliott. Leipzig to prioritise Elliott signing after closing Sesko sale to Manchester United. Offer expected for Elliott.
 
| BREAKING : ALEXIS MAC ALLISTER 🇦🇷

Liverpool FC are slowly advancing in-talks with Alexis Mac Allister and his camp over a new contract, sources confirm! ✅️🔴#LFC

Alexis Mac Allister has received concrete interest from Real Madrid, Bayern Munich and Saudi Pro League clubs in the last months, but his priority is to continue at Liverpool FC. ❤️🚨

Despite having a contract until June 2028, Liverpool FC are keen on extending his contract, Alexis Mac Allister is keen to stay but wants to be paid like a top midfielder. ✅️💰

Liverpool FC and Alexis Mac Allister are on the same page at the moment. While an agreement is not close to being completed or done as of now. Talks are progressing well. 🔴🤝
 
🚨🔴 Liverpool mantain their focus on Alexander Isak for the final weeks of the summer window.

New proposal, ready to be submitted if Newcastle open doors to the move.

Isak mantains his position; he doesn’t want to play or stay at Newcastle, he wants to leave and join Liverpool.

#Fabrizio Romano
 
Bila kununua beki wa daraja la kwanza sitofurahia sana haya mauzo 😎😎
Ukuta haupo sawa na VVD ndio huyo anaumwo hati hati akose mech ya Jumapili Ngap Ya Jamii ina maana atachecza Endo pale na Konate, hii sio powa kabisaaa.

YNWA

Kwa kuondoka Jota, Diaz na Nunez basi kwasasa I prefer Isak kuliko Defender
 
IMG-20250807-WA0142.jpg

1. Isak ameagizwa kufanya mazoezi kando na kikosi cha kwanza katika uwanja wa mazoezi wa Benton.

2. Amekuwa akiwasili baada ya wachezaji wengine kuondoka na pia hakualikwa katika tukio la familia lililoandaliwa na kocha Howe.

3. Hatua hii inaonekana kama adhabu kutokana na hamu yake ya kuondoka klabuni na mwenendo wake wakati wa sakata la usajili.

Eddie Howe alieleza wazi kwamba hakuna mchezaji anayeweza kutarajia kufanya mambo kinyume na maadili ya klabu na bado akae kikosini kama kawaida. Alisisitiza kuwa mchezaji anatakiwa kujituma na kuonyesha nidhamu ili astahili kuwa sehemu ya timu.
 
Kwa kuondoka Jota, Diaz na Nunez basi kwasasa I prefer Isak kuliko Defender
Upande wa kushoto tunao Gapko, Florian na Rio, upande wa kulia yupo Salah, Doak na Frimpong kati yupo Hugo na Danns

Elliott na Chiesa nao mbioni kuuzwa hivyo lazima klabu iingie sokoni kununua angalau wachezaji watatu
WInga mmoja, beki mmoja na Strika mmoja.

Dirisha lipo wazi ngoja tusubiri aisee.

Mkuu Shauku kwasasa ni mbadala wa KONATE,, maana KONATE kagoma mkataba mpya ,, lakini mbali na hilo ni mtu ambae anatupa mechi chache pia muda mwingi yupo kitandani. Tungekuwa na yule Gomezi wa 2018/2019 wala tusinge kuwa na pressure na CB.
Halafu Slot ndio karidhika moja kwa moja GREV acheze DM?
 
Kuhusu DM kwa dirisha hili sio muhimu kwa Slot, ataenda na double pivot ya Mac na Grav

Muhimu ni Striker, CentreBack na Winger
 
Kuhusu DM kwa dirisha hili sio muhimu kwa Slot, ataenda na double pivot ya Mac na Grav

Muhimu ni Striker, CentreBack na Winger
UNajua msimu uliopita,, cleansheet zilikuwa adimu sababu back line yetu ilikuwa inakuwa exposed sana na hii sababu ya kukosa natural Dm.
Grav mzuri lakini anatumika game nyingi sana, game za mwisho alichoka sana .
 
Mkuu Shauku kwasasa ni mbadala wa KONATE,, maana KONATE kagoma mkataba mpya ,, lakini mbali na hilo ni mtu ambae anatupa mechi chache pia muda mwingi yupo kitandani. Tungekuwa na yule Gomezi wa 2018/2019 wala tusinge kuwa na pressure na CB.
Halafu Slot ndio karidhika moja kwa moja GREV acheze DM?
Hawa makocha na wamiliki wakati mwingine hua wanatuchanganya. Tazama hatupata mbadala wa Fabinho maana Endo ni Endo hizo levo hana na sio tetesi zozote kuhusu Hilo. Jibu ni moja Grave amekumbali kuchezeshwa nje ya namba yake.
Hilo la Konate ni janga lingine kwanza mpaka sasa mkataba hajasaini nyongeza lakin pia rekodi yake ya uzima ni janga lingine.
Sana sana endapo tutasonga mbele na waliopo ni jibu moja tu tegemea kuona Robbo akicheza beki wa kati.
Tegemea kumuona Endo na ufupi ule akicheza beki ya kati.
Tegemea kumuona Grave akicheza beki wa kati.
Na wote tunakumbuka Nini kilitokea msimu wa 2020 2021 Januari tupo hoi wakatua akina Kabak 🤓nk nk na hatukutetea ubingwa wetu kwani Hali ilikua mbaya sanaaa.

YNWA
 
"EPL experience is valuable, but system fit is more crucial. Pacho suits Slot’s high line, press, and build-up better than Guéhi, whose strengths are more traditional defensively."
Don't be surprised Guèhi fit the system without major wait , sometimes yes sometime no case study Nunez couldn't click under Klopp and couldn't click under Slot and yet we see the potential is there... All is needed is just a chance to prove himself at highest level if it's can't work selling him ain't a problem at his age.
EPL experience is added advantage man.
Can't say much about Pacho I ain't seen him play that much. If he comes and raise to occasion we are lucky

YNWA
 
Kosa kosa za Nunez duh ni balaa tupu.
Yaani unahesabu goli aafu huyoo anakosaaa . Hakuwai kukataa tamaa na muda wote akivaa jezi ya Liverpool alikua anajitoa sana aidha aanzie bechi ama aanza gemu hajawai katuangusha kwa juhudi.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom