Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

FB_IMG_1754403518207.jpg
 
United watamlipa mshahara mkubwa zaidi? Maana nasikia United wamebid kama euro 10m chini zaidi ya bid ya Newcastle mpaka sasa.
Hawa Manjesta kwa mishahara hawajambo ndugu . Camsimro anakula 350k kwa wiki , Sancho 250k kwa wiki, Maguire 190k kwa wiki nk nk... tazama sasa output ya hao wachezaji ndio kituko zaidiii

YNWA
 
HUGO EKITIKE Vs ATHLETIC BILBAO

Hugo Ekitike Ekitike alicheza kama mshambuliaji anayebadilisha nafasi (fluid forward), si tu kama "striker wa kati. Katika mfumo wa kocha Arne Slot unaozingatia movement na position interchanges, Ekitike aliweza kuonyesha:

Kuelewa nafasi: Alijitambua vizuri alipohitajika kushuka kidogo au kupanua uwanja kwa kuelekea pembeni.

Link-up play: Alihusika kwenye "build-up" ya mashambulizi kwa kushirikiana vyema na Cody Gakpo, Wirtz na Salah


Pasi ya goli kwa Mohamed Salah:

Goli la lilitokana na:

Drift to wide area (upana): Ekitike alionyesha uelewa wa "spatial awareness" kwa kuhama kutoka mstari wa kati hadi pembeni.

Pasi ya mwisho: Alitoa pasi yenye akili na wakati sahihi, kumuwezesha Salah kufunga kwa urahisi. Hii inaonesha uwezo wake wa kutengeneza nafasi (chance creation) na timing ya maamuzi.

Kocha Arne Slot ameanza kuingiza falsafa ya:

Possession-based football yenye pressing ya hali ya juu.

Fluid attacking trio, ambapo washambuliaji wanaingia na kutoka kwenye nafasi tofauti (rotations).

Ekitike anaonekana kutoshea vizur kwenye mfumo huu kwa sababu:

1. Ana uwezo wa kushambulia kwa kasi, kupokea mipira katikati au pembeni.

2. Anaweza kudominate bila mpira kwa movement ya kuvuruga safu ya ulinzi.

Slot alimsifu Ekitike kwa kile alichokifanya uwanjani
Kwa kusema
Versatile attacker" si mfungaji tu bali pia mchezaji anayenyumbulika.

Mchezaji ambaye anatoa alternatives kwenye mfumo, ikiwa ni pamoja na kucheza kama winger Aug secondary striker.

Dakika alizocheza 57'
Assist 1 (kwa Salah)
Key passes 2
Touches 28
Successful dribbles 2/3
Passing accuracy 85%

Ynwa
 
Kabisa Mkuu kwa Liverpool wanaangalia complete package ya delivery uwanjani na merchandise side of things hapo ndio utasikia Salah 450k kumbe inaunganiswa na delivery ya mambo Fulani Fulani.

YNWA
Yea. Liverpool mko smart sana na pesa. Mara nyingi mkiingia gharama kubwa kwa mchezaji ni kwa manufaa ya timu. Nafikiri mmepoteza pesa kizembe mara chache kuliko mlipofaidika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom