Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Mambo ndio kaka hivi Jana.
Sczbo hana mpango wa kutulia benchi aisee.
YNWA
Yea. Liverpool mko smart sana na pesa. Mara nyingi mkiingia gharama kubwa kwa mchezaji ni kwa manufaa ya timu. Nafikiri mmepoteza pesa kizembe mara chache kuliko mlipofaidika.