Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Dynamic player winger cum RB 🔥🔥
YNWA
Good bila kiatu?🤣🤣🤣🤣🤣👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻Good morning Miss Liverpool
YNWA
Nasubiri Sasa na raba ile ili niwe namatchisha🤓🤓🤓🤓🤓 Addidas hua wako powaaa sanaaa kwenye haya mamboz.
YNWA
Kwahiyo wewe ulichopost ni mbele na nyuma tu 😂😂😂😂Ukianzia mbele au nyuma, jina na namba ya jezi hakuna kinachobadika.View attachment 3432328
Ana bahati flani, Palindrome kwa jina na number ya jezi 😀 😀Ukianzia mbele au nyuma, jina na namba ya jezi hakuna kinachobadika.View attachment 3432328
EPL ataingia kama home grown lakin pia EPL bado hatujapaleke listii mpaka dirisha lifungwe.
Tazama hapa 👇🏿 👇🏿 👇🏿 👇🏿
View attachment 3431914
Dogo anaingia kundi la chini ya umri wa miaka 21 na pia ni home grown .
Absolutely 💯 i got u Fam nimekupata vizuri sanaEPL ataingia kama home grown lakin pia EPL bado hatujapaleke listii mpaka dirisha lifungwe.
Tazama hapa 👇🏿 👇🏿 👇🏿 👇🏿
View attachment 3431914
Dogo anaingia kundi la chini ya umri wa miaka 21 na pia ni home grown .
YNWA