King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Kwa hiyo mnataka na huyu mmpeleke City halafu Chelsea halafu ndiyo aje kwetu akiwa ameshachoka?
Nyinyi si mumesajili bouncer Mkuu?
Kwa hiyo mnataka na huyu mmpeleke City halafu Chelsea halafu ndiyo aje kwetu akiwa ameshachoka?
Yaani huyu dogo anatakiwa apewe mkataba mpaka 2035🤣🤣🤣🤣
YNWA


Ni kweli kabisaaa hayo maneno yako, ila ukumbuke mchicha hata uumwagilie vipi na uuwekee mbolea bora kiasi gani ila hauwezi kua mkubwa kama mbuyu.🤣🤣🤣Kwa hiyo mnataka na huyu mmpeleke City halafu Chelsea halafu ndiyo aje kwetu akiwa ameshachoka?
First touch ya hali ya juu: Ana uwezo wa ku-control pasi ngumu kwenye maeneo magumu.
Vision and passing: Ana uwezo wa kuona nafasi ambazo wengine hawaoni, anapiga key passes zenye kuvunja safu za ulinzi.
Dribbling under pressure: Ana dribble ndogo-ndogo za "tight space" kama vile Iniesta/Grealish, akitumia kiuno na balance kuliko pace.
Composure kwenye final third: Hakurupuki, huchukua muda kufikiria chaguo sahihi.
Spatial awareness: Anajua wapi nafasi ziko hata kabla hajapokea mpira.
Positioning: Mara nyingi huonekana kama “ghost runner” – anajitokeza katikati ya mistari ya mabeki na viungo.
Link-up play: Anacheza one-twos, triangles, na hupenda kuanzisha “third-man runs”.
1.Runner zaidi (off the ball).
2. Atimize majukumu ya tactical pressing.
3.Atoe "volume" ya stamina, si "spark" ya mwisho.
Chezesha Wirtz kama No.10
Szoboszlai kama right 8,
Mac Allister/Endo/Gravenberch kama holding 6
anaongeza ubunifu, spatial intelligence, na control kwenye final third ambayo kwa sasa Liverpool inahitaji zaidi.
Pesa hulipi wewe unapangaje matumizidili la Isak naona kabisa hatuna haja nalo, hasa ukiangalia mapungufu yetu mengine!
kwanini ulipe over 100m kwa mtu ambae humhitaji kihivyo?
hii 100 wasajili cb na dm tu
Quansah , aliaanza vzr sana ila ndio ishakuwa ngoma ntolee , nawaza wangemtoa kwa mkopo ingetosha.View attachment 3426613
Akiumia Konate na Gomez Hawa hapa ndio mabeki wetu wa kati.
Tazama tofuati ya huo urefu🤣🤣🤣Kwa kweli Slot asikwepe kusajili beki.
Na pia akiumia VVD, Konate ina maana beki tutakua na Grave na Endo huku DM akicheza Macca na hapo imekaa sio powa kabisaaa.
Usajili mpya beki wa kati ni lazima ,mnakumbuka alivyoumia VVD gemu ya Everton miaka ilee na mbio za kutetea ubingwa ziliiishia pale pale hivyo mapema Slot aone hii changamoto ashughulikie sokoni
Pep bila Rodri kamaliza msimu bila kombe hivyo idara hii hua ni MUHIMU sanaaaa.
YNWA
Quansah , aliaanza vzr sana ila ndio ishakuwa ngoma ntolee , nawaza wangemtoa kwa mkopo ingetosha.
Gomez, trip shamba trip garage.
Kiufupi, tuna timu inayotakiwa kushinda kwa kuscore goals nyingi kuliko kusecure kutokufungwa goal.