Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1753944421303.png
 
UJUMBE WA LUIS DIAZ

Miaka mitatu na nusu ambayo nitaithamini milele. Nilikuja nikiwa na ndoto zote za dunia, na sasa ninaondoka nikiwa na fahari kwa yote tuliyofanikisha pamoja.

Nimekutana na watu wa wazuri, wachezaji wenzangu wa kuvutia, makocha waliyonisaidia sana, na mashabiki wa kipekee. Liverpool ni timu ya kipekee kweli, na nitawahifadhi wote moyoni mwangu. Safari yangu inaishia hapa, na ni jambo la kuridhisha sana kuangalia nyuma na kutambua furaha tuliyokuwa nayo.

Sio tu kwa sababu ya makombe tuliyoshinda, bali kwa mshikamano na urafiki uliotuwezesha kufanikisha kila kitu. Kulikuwa na nyakati nzuri na mbaya, kama kawaida ya maisha, lakini daima kulikuwepo na ukweli. Kama inavyopaswa kuwa kwenye familia. Inatia moyo kuondoka nikiwa na hisia za kutimiza wajibu, na zaidi ya yote, kuondoka nikiwa bingwa. Ingekuwa kwaheri kamilifu kama tusingempoteza mmoja wetu kwa njia ya kusikitisha sana.

Kama nilivyosema, na narudia, nawabeba nyote moyoni mwangu, lakini mmoja hasa: Diogo. Sitamsahau kamwe. Hatutamsahau kamwe. Asanteni kwa kila kitu.
YNWA🔴

CHANZO: LUIS DIAZ
Kila la kheri kwake.
 
View attachment 3425144

Kombe la kwanza
Ndio tunaanza.

YNWA
Haya makombe ya Pre-season waachieni Arsenyau wasio na uhakika na major trophies.
Mshana Jr anakwambia katika ulimwengu wa kiroho kushangilia makombe haya ni kujitia nuksi kabla ya kuanza kwa ligi.
Kama vipi mkifika England wakabidhini tu Arsenyo hilo sinia wakaliweke kwenye kabati lao, ila msijiroge mkaliweka kwenye kabati moja na kombe lenu la PL mlilobeba msimu uliopita.
images-32.jpg
 
Haya makombe ya Pre-season waachieni Arsenyau wasio na uhakika na major trophies.
Mshana Jr anakwambia katika ulimwengu wa kiroho kushangilia makombe haya ni kujitia nuksi kabla ya kuanza kwa ligi.
Kama vipi mkifika England wakabidhini tu Arsenyo hilo sinia wakaliweke kwenye kabati lao, ila msijiroge mkaliweka kwenye kabati moja na kombe lenu la PL mlilobeba msimu uliopita. View attachment 3425581
Nimekusoma vyema Mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

YNWA
 
😃😃😃😃Usishangae dogo akawa ndio msaidizi wa Gapko msimu ujao.

Labda Slot ameona amepata Lamal kwa kwetu😎😎😎😎

YNWA
When watching him ... he will have to really put on some muscle … he gets out of it by riding challenges well but needs better decision making”
 
🚨 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄: Alexander Isak decides to keep waiting for Liverpool, his 𝐨𝐧𝐥𝐲 choice 🔴💭

Isak doesn’t return to team training this week, focused on Liverpool move despite links with Al Hilal… not true.

Personal terms never gonna be an issue, as choice has been made weeks ago: Isak wants 𝐋𝐢𝐯𝐞𝐫𝐩𝐨𝐨𝐥 as priority.

Isak also aware of Liverpool prepared for record bid if Newcastle will open doors to sale, up to the Magpies.
 
Arne Slot on how he goes about replacing Diaz:

“You always need to replace them with quality. Sometimes quality can be in different positions. We have more than a few players who can play in a number of positions. At this moment in time we still have Gakpo, Rio is showing very good signs and I think Wirtz can play from the left side as well.”

"There are enough options for me to choose from. But as I always say, another thing about Liverpool is that if we see a chance in the market, we never hesitate to bring someone in. In the end it's about quality and we have already made some very good signings. In terms of quality, we are already in the right place."
 
Kwa hiyo mnataka na huyu mmpeleke City halafu Chelsea halafu ndiyo aje kwetu akiwa ameshachoka?
Usijali nyie mtapewa kwa mkopo.
Ile mechi ya Liverpool vs Yokohama muda wote akili yangu niliielekeza kwa Ekitike kuona ana maajabu gani?
Ila nilichogundua Ekitike ni black version ya Nunez tu, tena huenda Nunez akawa bora zaidi yake, ngoja tusubiri ligi ianze huenda akaniprove wrong.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom