Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Academy imepata mfungaji hodari kazi kwake Page kumsuka mapema atue Team ya wakubwa aanze mishe. Dogo ana miaka 17 hivyo hayupo mbali sana kutua timu ya wakubwa.
YNWA
Liverpool ndio wakwanza kumuapproach ikasemekana kwamba Arsenyani wamehijack deal, wakarelax wenyewe kwa raha zao. kilichofata ndo kama uonavyoHahahaha dogo huko underground ana magoli kama yote hata sielewi Arsenal wamechelewa kwanza muda tu wanaongea nae mara pap Edwards na Hughes wakamaliza jambo.
YNWA
twende na rodri uyo dogo atapata dakika kisela,pre season sio leagueMnasema je amridhi DiaZ ama 🫣🫣🫣
View attachment 3424204
Au tutue mazima kwa huyu 👇🏿View attachment 3424206
Kazi kwao Slot na jopo lake.
YNWA
Right now we need CB than DMBring in Isack or Rodrygo
Bring in DM or CB
Game over
Kabisa mpaka naanza kupata wasiwasi aiseeView attachment 3423244
Hili jitu eti ndiyo lije pale Anfield likutane na kibabu Van Dijk? Si litapiga double hat-trick aisee?
Konate msimuache aende Madrid kwanza aisee. Na malizaneni na Guehi kama kweli mnamhitaji. Tusije kulaumiana.
Right now we need CB than DM
Mtakuwa mlimuahidi atacheza 1st 11 na kina Salah nini? Maana mie nilikuwa nasoma tetesi kuwa tumeshamsajili.😀😀View attachment 3423918
HENRY14 mmefeli wapi tena mpaka dogo kutua Anfield.
Here we go next Michael Owen
YNWA
Diaz aliona mbaliRio ngumoha onfire