Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kwa faida ya ubongo wangu nitajie angalau left wingers wa 3 wazuri tunaoweza kuwapata below £70m
1. Nico Williams (Athletic Bilbao)

Umri: 21

Winger wa kushoto (lakini anaweza kulia pia)
Release clause: €58m (approx £49m)
Ana pace, dribbling, decision-making, na ameng'ara sana Euro 2024.
Perfect alternative kwa Luis Díaz au rotation ya upande wa kushoto. Anaweza kucheza high-press system vizuri sana.

2.Johan Bakayoko (PSV Eindhoven)

Umri: 21

Right winger (left-footed)
Bei ya sasa: £35–45m (anaweza kupatikana hata kwa £40m)
Stats (2023/24): 14 assists, 12 goals (all comps)
Ana speed, creativity, na crossing bora. Versatile, anaweza pia kuingia katikati.
Faida kwa Liverpool: Right-sided winger bila Salah – huyu ni mbadala mzuri kabisa wa muda mrefu.
 
Comrade kindly recheck your source Bakayoko alishauzwa RB Leipzig dirisha hili na Nico kaongeza mkataba AB...

YNWA
 
1. Nico Williams (Athletic Bilbao)

Umri: 21

Winger wa kushoto (lakini anaweza kulia pia)
Release clause: €58m (approx £49m)
Ana pace, dribbling, decision-making, na ameng'ara sana Euro 2024.
Perfect alternative kwa Luis Díaz au rotation ya upande wa kushoto. Anaweza kucheza high-press system vizuri sana.

2.Johan Bakayoko (PSV Eindhoven)

Umri: 21

Right winger (left-footed)
Bei ya sasa: £35–45m (anaweza kupatikana hata kwa £40m)
Stats (2023/24): 14 assists, 12 goals (all comps)
Ana speed, creativity, na crossing bora. Versatile, anaweza pia kuingia katikati.
Faida kwa Liverpool: Right-sided winger bila Salah – huyu ni mbadala mzuri kabisa wa muda mrefu.
Nico si juzi kati hapa kasaini miaka 10, umpate kwa £58m kweli!!
 
Mkuu ipo hivi tunae proven LW Gapko hivyo pale tunatafuta msaidizi na Fofana anafiti kabisa na hakuna bidding war kwake ni apewe project plan ipo hivi aamue mwenyewe kama ulivyoona kwa Hugo, Flo nk

YNWA
Mchezaji Rodrigo tu hao wengine watakuja kuwa flop epl
 
Afadhali amesema maestro wa kihispaniola mnaweza kujua uelekeo wenu msimu ukianza.
Tungesema sisi wadengereko, mngetuona wachawi tu, ila Slot pale mmepigwa big time.
na hii ndio shida yenu Arsenyani mnaongea sana halafu mnajikuta Class flani hivi wakati hata vicarabao na mapinduzi cup mnaishia kuviona YouTube, players na staff wenu wamekuwa watu wa ahadi kama serikali ya Tanzania
 
4veeér 20
1000092095.jpg

Proper Mural For D20.
🔥🙏🏾

YNWA
 
Kafika wenyeji wapo Hong Kong.....
Amechagua kilicho Bora🔥🔥🔥

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom