King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Mbona ni Salah mdogo huyu
🚨 𝗜𝗡𝗙𝗢 - @Plettigoal: PSG has joined Liverpool in the race for Rodrygo, the French side is also interested in the player ☎️🇧🇷
Simpendi ila namuonea huruma anavyopambana huyu dogo.Kwasababu kakata nywele umeshaanza kumpenda? Unapendaje vijana wa 2000?
Ni mpumbavu tu km wapumbavu wengineYaani huyu dogo alimuona Slots bado sana😂😂😂katudharau sana na sana tena
View attachment 3416243
🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓Kazi imeanza. Tukutane soon ndio atamwelewa Slot.Yaani huyu dogo alimuona Slots bado sana😂😂😂katudharau sana na sana tena
View attachment 3416243
sawa ila kushinda mataji asahau kabisa labda visinia vya community shieldYaani huyu dogo alimuona Slots bado sana katudharau sana na sana tena
View attachment 3416243
Hapa watu letee CB kabla ya DM.
Bila shaka usajili wa DM utafanyika ni suala la muda.Hapa watu letee CB kabla ya DM.
Newcastle hawana tena changamoto ya PSR hivyo sio lazima wauze...kuwashawishi itakua zaidi ya £60m na hii kwangu hapana huyu dogo hana hio value.Kwanini tusirudi tena kwa Anthony Gordon, Real Madrid tuwaachie Bengali babaa wao
Ekitike sio mchezaji wa 95m hapo tumepigwa Nunez namba 2Newcastle hawana tena changamoto ya PSR hivyo sio lazima wauze...kuwashawishi itakua zaidi ya £60m na hii kwangu hapana huyu dogo hana hio value.
Wapo ma left wingers wazuri sokoni kwa bei ya chini.
YNWA
kwa faida ya ubongo wangu nitajie angalau left wingers wa 3 wazuri tunaoweza kuwapata below £70mNewcastle hawana tena changamoto ya PSR hivyo sio lazima wauze...kuwashawishi itakua zaidi ya £60m na hii kwangu hapana huyu dogo hana hio value.
Wapo ma left wingers wazuri sokoni kwa bei ya chini.
YNWA
No worries Saudi is waiting for the flops....Ekitike sio mchezaji wa 95m hapo tumepigwa Nunez namba 2
Leaokwa faida ya ubongo wangu nitajie angalau left wingers wa 3 wazuri tunaoweza kuwapata below £70m