The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
Cha ajabu aliporudi Celta Vigo alikiwasha balaa top three yupo kugombea pichichiOld is gold🤣🤣🤣🤣🤣Aspas mpaka Leo anasakata soka safiii.
YNWA
Ynwa
Cha ajabu aliporudi Celta Vigo alikiwasha balaa top three yupo kugombea pichichiOld is gold🤣🤣🤣🤣🤣Aspas mpaka Leo anasakata soka safiii.
YNWA
Watafurahi sana wakikuona, avatar imezimua hali za wajumbe.Niruhusuni nimlete kwenu mtoto aliyemficha chambuzi wenu
I have faith still.Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa huyu jamaa kashindwa kuperform vizuri EPL..
View attachment 3415719
Ifahamike sio kila kitu walipingana au kukubaliana, hao uliowataja ni ushirikiano wa Data Driven approach na Klopp's demand pia.Nimekuelewa sana mwaisa, unajua kiukweli timu ya Klopp ungempa Kocha mwingine ni kisanga
Kuna hawa TAA, Hendo, Wijnadulm na Bobby kwa makocha wengine ngumu kuwatumia kama alivyokuwa anawatumia Klopp
Kwa kumalizia committee mode ndio iliwaleta akina Mac Allister na Szobo ama ni Klopp?
Aisee,. Hehehehe ndio humo humo alfu mbili kaka,.Mkuu kumbe unapenda Mishangazi?
Hivyo vya 2000 sio vitoto tena sasa hivi wana miaka 25 tayari ni Mishangazi hiyo yameshatoa mimba kama 8 hivi huko sisi tumeshahama.
Tumehamia kwa vitoto vya 2010 sasa vinakunjika kama kamongo.
Secretary wa Sheikh John W Henry unakuwaje maskini.Hee😂😂😂😂
Hatari sana
Heri nife masikini kuliko kucheza huo mchezo wa ngumi
Ndio ukweli wenyewe huu,. Mambo ni balaa,. Behind the scene.Jamani jamani
Oneni huyu
Mtoto ana muulizia mtoto,. Acha hiyo mikong'osio...Huyo mtoto ni nani jamani
Anataka atupotezee chambuzi letu nguli
Chelsea bado wanatafuta kocha mwenye identity.
Manchester United wako kwenye transition ya Ineos.
Arsenal bado wanahangaika na consistency.
Sheikh Yahya Henry asisahau usajiri wa CB
Mwaka huu anaweza kuanza kivingine
Andy Caroll wa Newcastle alikua moto kweli kweli, ila kuja LFC flop. By the way Newcastle walikua wazuri kikosi chao kilikua kinatoa National team players
Ile injury imemrudisha nyuma sana, 2023/2024 if he hadn't gotten injured it could have been his year.
Kipaji kimo sana kwa jamaa, namkubali.
Ynwa