Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
YNWA
Ni timu ya hela ya mafuta, watalipa tu lakini mpaka mkataba uliopo aumalize kwanza tena kwa kiwango hiki hikiKazi kwao.
YNWA
Nimekuelewa sana mwaisa, unajua kiukweli timu ya Klopp ungempa Kocha mwingine ni kisangaDNA governance ya Liverpool chini ya FSG na kubadilika kwa nguvu ndani ya klabu baada ya Klopp
1. Klopp Alijenga “Manager FC”, sio “Coach FC”
Klopp hakuwa “just a coach”. Alikuwa figure ya manager ambaye alikuwa ana final say kwa signings (hata kama ilikuwa consensus).
Michael Edwards alifanya kazi vizuri na Klopp, lakini klabu iligeuka kuwa Klopp-centric. Julian Ward aliona hilo, akajitoa mapema akisema “the environment was no longer conducive to his style of work” japo alikuwa promoted.
After Klopp, Liverpool wanataka return to “structure first”, ambapo Coach ana limit ya maamuzi na recruitment ni driven by a Sporting Director, Data Analytics na “club philosophy” — kitu ambacho Slot anakubali bila mapambano.
2. Edwards na Ward Waligoma Kuwa Washika-Mikoba wa Kloppism
Michael Edwards aliondoka kwa sababu hakuona growth kwenye setup ya Klopp. Hakutaka kuwa “yes man” kwenye project ya Klopp.
Sasa amerudi kwa sababu Klopp ameondoka na Edwards amepewa mandate ya kujenga upya mfumo wa recruitment-led club, bila ‘dominant personality’ kama Klopp.
Julian Ward aliona hakuweza kufanya kazi kwenye mazingira yenye “power vacuum” ya Klopp, akachomoka baada ya miezi 12.
3. Slot ni “Head Coach” kwenye Mfumo wa Edwards, Klopp alikuwa “General Manager”
Slot anakuja akiwa ameshakubali hana final say, anafuata sporting structure ya new LFC ya data-first, club-led recruitment.
Klopp alikuwa mtu wa gut feeling, alikuwa hata override scouts (mfano Darwin Núñez na Gakpo).
Liverpool sasa inarudi kwenye model kama ilivyokuwa enzi za Brendan Rodgers baada ya transfer committee reforms, lakini safari hii na leadership ya Edwards ikiongozwa na multi-club model.
4. Kauli za Klopp Mwaka wa Mwisho Zinaonyesha Kilio chake
Klopp amekuwa akisema:
“The market has changed, we can’t do miracles.”
“Sometimes I have to accept the club’s decision.”
Baada ya Wirtz kusaini Bayern, Klopp alitamka kwa huzuni kwamba “clubs with different structures can act faster and decisively”. Hii ilikuwa indirect frustration kwa style ya Liverpool, ambayo ilishaanza kurejea kwenye committee model kabla hata hajaondoka.
5. Sababu za Sasa kwa Slot ni Zaidi ya Klopp
Rebuild ya Squad inahitaji stability ya system, sio personality.
Multi-club model ya LFC kwa sasa inataka slotting in coaches kwenye structure, sio kubinafsisha club kwa coach mmoja.
Edward na genge lao walirudi kwa sababu wanajenga system-first era, na Slot ni bridge ya transition.
Kama Slot atashindwa wanaflexibility ya ku-rotate head coach bila ku-dismantle system, kitu ambacho haikuwezekana kwa Klopp.
Maoni ya Kitaalamu
Liverpool wamejifunza somo la “Manager Dependency” na sasa wanarudi kwenye model ya system-first club. Klopp alikuwa mwisho wa cult of personality managers. Slot ni product ya club structure revolution. Edward anarudi kujenga philosophy-first football, na Slot ni sehemu ya mpito.
Kwa hiyo, hawakuweza “kumfungia Klopp” ndani ya system kwa sababu Klopp alikuwa system yenyewe. Kwa Slot ni kinyume chake: Slot atakuwa employee wa system.
Liver walivo wabahili hawawezi toa 300k kwa isak𝙈𝘼𝙅𝙊𝙍 𝘽𝙍𝙀𝘼𝙆𝙄𝙉𝙂: Alexander Isak wants £300k a week to sign a new contract at Newcastle, reports @alex_crook
Liver walivo wabahili hawawezi toa 300k kwa isak
Haland anakula ngapiHivi unajua kwamba mchezaji anayeongoza kwa kula mshahara mkubwa pale epl anatoka Liverpool anaitwa Mo Salah analipwa £400,000 kwa wiki
Ngoja tuone wakiuzwa Elliott, Diaz, Nunez, nini kitafuata.Ni timu ya hela ya mafuta, watalipa tu lakini mpaka mkataba uliopo aumalize kwanza tena kwa kiwango hiki hiki
Kweli Haaland anamzidi Salah, FSG sio wabahili kama ulivyowaita😂, bali wanatoa hela kwa akiliHaland anakula ngapi
Mac Allister alisajiliwa kupitia data-led recruitment iliyoongozwa na new sporting director Jörg Schmadtke na chief scout Barry Hunter, wakishirikiana na data analysts wa Liverpool. Klopp alikubali kwa sababu ya tactical flexibility, lakini kulingana na taarifa nyingi (The Athletic, The Times), haikuwa “Klopp personal target” bali ni committee recommendation kwa sababu ya clause ya £35m, value for money, versatility na Premier League readiness.Nimekuelewa sana mwaisa, unajua kiukweli timu ya Klopp ungempa Kocha mwingine ni kisanga
Kuna hawa TAA, Hendo, Wijnadulm na Bobby kwa makocha wengine ngumu kuwatumia kama alivyokuwa anawatumia Klopp
Kwa kumalizia committee mode ndio iliwaleta akina Mac Allister na Szobo ama ni Klopp?
Ooooh nimeelewaMac Allister alisajiliwa kupitia data-led recruitment iliyoongozwa na new sporting director Jörg Schmadtke na chief scout Barry Hunter, wakishirikiana na data analysts wa Liverpool. Klopp alikubali kwa sababu ya tactical flexibility, lakini kulingana na taarifa nyingi (The Athletic, The Times), haikuwa “Klopp personal target” bali ni committee recommendation kwa sababu ya clause ya £35m, value for money, versatility na Premier League readiness.
Szoboszlai ilikuwa committee-driven opportunity. Liverpool waligundua release clause ya €70m iko karibu ku-expire (July 1st 2023) na wakapiga haraka. Klopp hakuwahi kumsimamia moja kwa moja, lakini scouting reports (kwa miaka mingi wakati yuko Salzburg na Leipzig) zilimshawishi Klopp akubali kusainiwa. (Source: The Guardian, 2023).
⚠️ Ikumbukwe: Klopp alipata final veto power kama kawaida, lakini hizi signing mbili hazikutokana na Klopp “kuomba” wachezaji fulani kama ilivyokuwa kwa Naby Keita au Darwin Núñez. Ilikuwa ni market-driven, squad needs na data scouting ambazo committee iliongoza.
Mkuu Halaand analipwa £525,000k kwa wiki pale Ethad na inaweza kupanda mpaka £825,000k kwa wiki endapo atafikia mafanikio Fulani hii inakua kama bonus.Hivi unajua kwamba mchezaji anayeongoza kwa kula mshahara mkubwa pale epl anatoka Liverpool anaitwa Mo Salah analipwa £400,000 kwa wiki
Masahihisho: Haaland anamzidi Salah
Kitoto cha alfu mbili kikikuamulia umeisha hauchomoki, Aliyenificha kitoto cha alfu mbili, na wa alfu mbili anayenijua ni wewe tu huku duniani. Je nani amenificha??
Ynwa"
View attachment 3414460
Liverpool taking over back to the 80s era .....
Street ain't ready for Slot 2.0 unleashed 🔥🔥🔥🔥🔥
YNWA
Isak angepata kabisa 300k maana alikua marquee signing kwa Slot....Liver walivo wabahili hawawezi toa 300k kwa isak
Pesa ipo itumike tu Slot apate timu yake maana hii ya sasa ni Klopp kabisaa.....Kuna Mtu kaiba ATM card ya Henry
Nunez anapambana hili pengo la Jota abakie yeye na klabu isiingie sokoni ....mpango wake ulikua Napoli wamepata mchezaji wa bei chee hivyo sana sana atue Saudi na hataki huko kwa sasa. Ngoja tuone dirisha bado lipo wazi.Darwin Nugoal