Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
German crew bonding 🔥 🔥 🔥 🔥
YNWA
Jeremy kama Robbo 🤣🤣🤣
Mama weeeee😂🙆🙆Mkuu kumbe unapenda Mishangazi?
Hivyo vya 2000 sio vitoto tena sasa hivi wana miaka 25 tayari ni Mishangazi hiyo yameshatoa mimba kama 8 hivi huko sisi tumeshahama.
Tumehamia kwa vitoto vya 2010 sasa vinakunjika kama kamongo.
Wamepokelewa vizuri ndio maana wako na furaha hivyo.....Jeremy kama Robbo 🤣🤣🤣
Flo ni humble sana 😊
Si ajabu sasa hivi FSG wanaitwa Sheikh John W. Henry bin Salah Al Fenway.FSG walivyochafukwa sijui kama hawajabadilisha uraia hawa wamekuwa na Uraia wa Kiarabu pale Saudia usikute sasahivi anaitwa Sheikh Yahya Henry.
Yani wamemwagwa £300M halafu wanapata jeuri ya kusema ndiyo kwanza wanaendelea kusajili?
🤣🤣🤣🤣 Kaka nawewe umo kumbe?Mkuu kumbe unapenda Mishangazi?
Hivyo vya 2000 sio vitoto tena sasa hivi wana miaka 25 tayari ni Mishangazi hiyo yameshatoa mimba kama 8 hivi huko sisi tumeshahama.
Tumehamia kwa vitoto vya 2010 sasa vinakunjika kama kamongo.
Sheikh Yahya Henry asisahau usajiri wa CBFSG walivyochafukwa sijui kama hawajabadilisha uraia hawa wamekuwa na Uraia wa Kiarabu pale Saudia usikute sasahivi anaitwa Sheikh Yahya Henry.
Yani wamemwagwa £300M halafu wanapata jeuri ya kusema ndiyo kwanza wanaendelea kusajili?
Hee😂😂😂😂Hahaha UFC sio mieleka ni ngumi kavu kavu bila gloves yaani watu wanapasuana midamu mpaka ukubali umeshindwa ndio refa anawagombelezea hata wanawake wanaicheza
Jamani jamaniKitoto cha alfu mbili kikikuamulia umeisha hauchomoki, Aliyenificha kitoto cha alfu mbili, na wa alfu mbili anayenijua ni wewe tu huku duniani. Je nani amenificha??
Ynwa"
Huyo mtoto ni nani jamaniAisee sema tu ukweli wako, nilifichwa na kitoto kimoja kizuriiiii,..
Height -->Macca (approximately).
Colour (secret).
Behavior --> Mo Salah A+.
Personality --> Nunez plus Robbo.
Physical appearance --> Szoboszlai's Jersey number.
Mengine nikirudi mafichoni nitaandika notes, haya ya haraka haraka kuhusu hako katoto ka two thauzandi.
Ynwa'
Mwaka huu anaweza kuanza kivingineNunez ni Striker la preseason anafunga hata akiwa benchi
Niruhusuni nimlete kwenu mtoto aliyemficha chambuzi wenuMama weeeee😂🙆🙆
Andy Caroll wa Newcastle alikua moto kweli kweli, ila kuja LFC flop. By the way Newcastle walikua wazuri kikosi chao kilikua kinatoa National team playersDah mtu anakuambia Andy Caroll ni Next El Ninho, siku za giza nikizikumbuka nabaki kucheka na kufurahi kwa niyaonayo sasa hivi
Ile injury imemrudisha nyuma sana, 2023/2024 if he hadn't gotten injured it could have been his year.Bajcetic my boy naomba majeraha yakae mbali nae
Kwa ufupi ni Klopp's effect.Naomba majibu ya namba mbili, Kwa nini Julian ward aliamua kuondoka kama sporting director miezi michache tu baada ya kuteuliwa kukaimu nafasi ya Edward?
Nilijiuliza sana bila kupata majibu