Eto'o ni underrated, lakini jamaa alikuwa anajua sana kwa upande wangu mimi🤣🤣🤣😄😄😄😄 Klopp kampa dogo platform ya utajiri haonekani hapo hii imekaa aje.
Hivi Salah ndio GOAT ama ni Drogba au Eto...
YNWA
Mourinho alimdogosha halafu Spalleti akampandisha mpaka sisi kumuona ni kazi ya Spalleti, kwa hiyo ni lazima amsifie Spalleti🤣🤣🤣😄😄😄😄 Klopp kampa dogo platform ya utajiri haonekani hapo hii imekaa aje.
Hivi Salah ndio GOAT ama ni Drogba au Eto...
YNWA
Kha kweli bhana😄😄😄Did you know EKITIKE is the only name you read backward and still sound the same?😊
I guess numbers za Salah zitakua juu kabisa za magoli ma assist mpaka kua GOAT wa Afrika.Eto'o ni underrated, lakini jamaa alikuwa anajua sana kwa upande wangu mimi
😂😂 Na atakupa matumaini utasema striker si ndio huyu bwana acha ligi ianze Sasa 😂😂😂, no hard feelings ila Haaland atusamehe tu ivi sisi tulikuwa wakumfananisha na Nunez kwelii dah 😂Nunez ni Striker la preseason anafunga hata akiwa benchi
Angelo Stiller yupo pale VFB stuttgart bei yake nzuri kabisa €45mTungepata na kaDM Kamoja ka maana kabisa basi ningefanya kitambi kati kati ya msimu kwa burudani la Liverpool
Klopp= small squad.Kumbe kuna signing linaendelea 😂😂 FSG hawataki utani, ila najiuliza kwann hawakufanya hizi signing kwa kwa klopp?