Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Players who have volunteered to support Diogo Jota's family since his death on July 3, 2025:

1. Cristiano Ronaldo – In the early days, he promised to cover health insurance for Diogo’s wife and his entire family.

2. Lamine Yamal – The young Barcelona star took on the responsibility of covering all travel expenses for Jota’s family whenever they need to travel.

3. Rúben Neves – A close friend of Jota, he pledged to fully pay for the education of Jota’s children until they graduate.

4. Mohamed Salah – He committed to paying for all housing, food, and other essential needs for the family without any limit.

5. Virgil van Dijk – The Liverpool captain vowed to ensure Jota’s children enjoy a happy childhood and live like normal kids despite the tragedy.

Huku kwetu ukifariki kitu cha kwanza watu wanampigia mahesabu Mke wako uliyemuacha ni namna gani watapita naye.

Utasikia "King Ngwaba kaacha chombo cha maana".

Hapo tayari anaanza kulipiwa kodi na bili zote.
 
Hahahahahah, Unafikiri hakuna wanaowaza hilo pia? Binadamu tunafanana kwa vingi sana mkuu, wenye tamaa za hivyo pia wapo.
 
Mwanaliverpool Halisi umeshaanza kumpigia mahesabu mjane wa Jota?
Hapana, hiyo behaviour kwakweli sina, japo miaka kadhaa nyuma kidogo nianguke kwenye hiyo dhambi baada ya kushawishiwa na mjane wa rafiki yangu na master wangu. Ila nina uhakika kuna wachezaji wanamendea na atakuja kujihusisha tena na mahusiano na mchezaji maarufu tu, subiri miaka kadhaa mbele mzee. Butua vyako mzee, ukiondoka wanaobaki hawana huruma.
 
VVD at 34yrs sio dalili nzuri huu ni umri wa kukimbizwa na vijana tuanze kutafuta mbadala wake mapema sana
Nina Imani na Hughes akishamaliza kuweka sawa idara ya kushambulia ataweka kambi idara ya ulinzi inawezekana dirisha lajalo tukaone mishe mishe zaidi ukuta...
Konate bado wanazungumza nae na Guèhi next on the line.

YNWA
 
Hapana, hiyo behaviour kwakweli sina, japo miaka kadhaa nyuma kidogo nianguke kwenye hiyo dhambi baada ya kushawishiwa na mjane wa rafiki yangu na master wangu. Ila nina uhakika kuna wachezaji wanamendea na atakuja kujihusisha tena na mahusiano na mchezaji maarufu tu, subiri miaka kadhaa mbele mzee. Butua vyako mzee, ukiondoka wanaobaki hawana huruma.
Ulisoma ujumbe wa Mo Salah?
Mawazo yake yote yapo kwa Mke wa marehemu na watoto wake. Mpaka nikawa nasema vipi Salah anataka kuongeza mke wa pili nini? 😃
 
IMG-20250720-WA0019.jpg
 
Ujumbe wa Salah kwenye msiba wa Jota
Ona hayo maneno niliyo yazungushia yalikuwa na maana gani? 😂😂😂

IMG-20250720-WA0023.jpg
 
IMG-20250720-WA0111.jpg

🚨💣 BREAKING: Hugo Ekitike to Liverpool, here we go!

Deal in place for fee over €90m for the French striker to join from Eintracht Frankfurt, potentially reaching €95m.

Six year deal for Ekitike, valid until June 2031; he only wanted Liverpool move.

New striker for Slot 🇫🇷
 
Ulisoma ujumbe wa Mo Salah?
Mawazo yake yote yapo kwa Mke wa marehemu na watoto wake. Mpaka nikawa nasema vipi Salah anataka kuongeza mke wa pili nini? 😃
Ngoja watu wasahau msiba uone, EDA ikiisha tu watu wataanza kula mzigo. Character ya Salah sidhani kama atamsaliti dogo Jota, ila wapo watakaomsaliti lazima
 
Huku kwetu ukifariki kitu cha kwanza watu wanampigia mahesabu Mke wako uliyemuacha ni namna gani watapita naye.

Utasikia "King Ngwaba kaacha chombo cha maana".

Hapo tayari anaanza kulipiwa kodi na bili zote.
🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom