Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kutosha na na shampoo nk nk 🤣🤣🤣🤣 kameona kaje kivingine kabisaaa.Kwani kuosha tu na kubana kunapoteza muda?
YNWA
Kutosha na na shampoo nk nk 🤣🤣🤣🤣 kameona kaje kivingine kabisaaa.Kwani kuosha tu na kubana kunapoteza muda?
Uchambuzi upo na Manyanza na anakupa adimu kabisa on time hapa jukwaani....Mimi pia nimemiss Sana Bobby🥰
Mafekeche yake akisakata kambumbu..jamaa mpole.
Nimemiss na Bobby wewe
Siku hizi toka ujue kiswahili,stori zimekuwa nyingi kuliko uchambuzi wa mpira.
Shampoo ukinunua kopo kubwa linakaa sanaKutosha na na shampoo nk nk 🤣🤣🤣🤣 kameona kaje kivingine kabisaaa.
YNWA
Mimi Mwalimu wako wapiUchambuzi upo na Manyanza na anakupa adimu kabisa on time hapa jukwaani....
Wewe SI ndio tichaa wangu jamani 😂😂
Bobby wako kahama timu Kule kule alipo Uarabuni.
YNWA
🤣🤣🤣Miss Liverpool unanikataa jamaniMimi Mwalimu wako wapi
Acha kunisingizia😂
Mtaje Mwalimu wako tumpe tuzo,Ameweza.
Kaamua baada ya zile kosa kosa kaamua kuja kivingine ili kufumania nyavu vizuri 🤣🤣🤣aidha Liverpool ama kwingine atakopata ajira.Shampoo ukinunua kopo kubwa linakaa sana
Aliyemyoa kamuharibu
Usimuache Mwalimu wako🤣🤣🤣Miss Liverpool unanikataa jamani
YNWA
Watoto wadogo hivi kukosa Baba inahuzunisha sanaMs Saint Anne umeona watoto wa marehemu? 😂😂😂
Hapo baadaye tutapata clinical, technically gifted, clutch performer kama baba yao
View attachment 3410735
😃😃😃Watoto wadogo hivi kukosa Baba inahuzunisha sana
Mola awakuze katika kimo na maarifa wake kuwa wachezaji wazuri kama baba yao kwenye kizazi chao kijacho.
Sikuachiiiiiii ng'o 😎😎😎😎😎Usimuache Mwalimu wako
Karibu unaweza sasa
Asante sana Mkuu🥰Saint Anne Nakupenda ujue
Mungu awasaidie wakatende kama walivyoahidiPlayers who have volunteered to support Diogo Jota's family since his death on July 3, 2025:
1. Cristiano Ronaldo – In the early days, he promised to cover health insurance for Diogo’s wife and his entire family.
2. Lamine Yamal – The young Barcelona star took on the responsibility of covering all travel expenses for Jota’s family whenever they need to travel.
3. Rúben Neves – A close friend of Jota, he pledged to fully pay for the education of Jota’s children until they graduate.
4. Mohamed Salah – He committed to paying for all housing, food, and other essential needs for the family without any limit.
5. Virgil van Dijk – The Liverpool captain vowed to ensure Jota’s children enjoy a happy childhood and live like normal kids despite the tragedy.
Mwalimu kakufundisha hadi 'ng'o'Sikuachiiiiiii ng'o 😎😎😎😎😎
YNWA
Insha'Allah😃😃😃
Mwakani tu mwezi kama huu watakuwa tayari wapo kwenye academy watakuwa wanakuza vipaji
Manyanza anaupiga mwingi.Uchambuzi upo na Manyanza na anakupa adimu kabisa on time hapa jukwaani....
Wewe SI ndio tichaa wangu jamani 😂😂
Bobby wako kahama timu Kule kule alipo Uarabuni.
YNWA
Ruben Neves na Salah wametoa mchango mkubwa mnoo. Sema Van Dijk bahili sana 🤣🤣🤣Mungu awasaidie wakatende kama walivyoahidi
Bahili😂😂😂Ruben Neves na Salah wametoa mchango mkubwa mnoo. Sema Van Dijk bahili sana 🤣🤣🤣
Kuna interview moja aliulizwa ni namna gani una spend hela zako?
Alichomjibu yule mtoto hapana huwa sina matumizi mabovu lakini huwa nafanya saving tu