Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Nimehuzunika sana kusikia Tajiri Melo anashabikia Timu ya Ollachuga😆😂Upewee Ban😃
Nimehuzunika sana kusikia Tajiri Melo anashabikia Timu ya Ollachuga😆😂Upewee Ban😃
Sisi tunapambania vikombe vya maana tuSema kweli vile?
Sasa, ili ku-qualify kushiriki kupigania kuwa BINGWA WA DUNIA mlikosa kigezo hicho 😎
boss wewe ni wakupigwa ban kabisa unasupport Chelkenge kweli?!!!Sema kweli vile?
Sasa, ili ku-qualify kushiriki kupigania kuwa BINGWA WA DUNIA mlikosa kigezo hicho 😎
Team moja kabisa na mtu wa maana humu ndani Mbaga JrNimehuzunika sana kusikia Tajiri Melo anashabikia Timu ya Ollachuga😆😂
Ila umejikaza😆😹🤣🤣🤔🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe umekaa kimtegotego yaani wewe tangu asepe Kelleher na TAA mmmmmmh
YNWA
Timu yupo OllachugaTeam moja kabisa na mtu wa maana humu ndani Mbaga Jr
Mnasema Man U tuna kelele ila humu ndani Chelsea 😃wana kelele mno mashabiki tuu kuna Ollachuga, Mbaga Jr na Papa Gx😃😃kelel mwanzo mwisho kila jukwaa la sports
🤣🤣🤣Kwa sauti ya King Ngwaba mickey mouse 'cups'We kombe ni EPL na UEFA,hayo mengine masinia siyo kombe😆😂😂
Makombe ya kiume ni hayo mawili
Nyingine hizo ni porojo na siasa
🤣🤣🤣Kwa sauti ya King Ngwaba mickey mouse 'cups'We kombe ni EPL na UEFA,hayo mengine masinia siyo kombe😆😂😂
Makombe ya kiume ni hayo mawili
Nyingine hizo ni porojo na siasa
Saint Anne huyu Melo ni Chelsea lia lia nakumbuka kipindi kile Chelsea ya moto alikuwa anavimba sana kwenye mitaa fulani. Aah kuna siku tulikutana pale Steers Kijitonyama anirekebishie niweze kutumia JF kwenye blackberry yangu.Sema kweli vile?
Sasa, ili ku-qualify kushiriki kupigania kuwa BINGWA WA DUNIA mlikosa kigezo hicho 😎
🤓🤓 Nimecheka kwa sautiiii usikui huu yaani Saint kama Saint....Ila umejikaza😆😹
Wewe ni wa kuchat kiswahili siku nzima?😂😂😂
Hao watu unashinda nao sikuhizi usiwwavhe,,karibu unaweza kabisa kiswahili 😂
Sasa Boss Maxence Melo mbona huu uzi wetu mnaubagua sana wakati huu ndio huu uzi pendwa?Sema kweli vile?
Sasa, ili ku-qualify kushiriki kupigania kuwa BINGWA WA DUNIA mlikosa kigezo hicho 😎
Melo Bwana
Wacha wee🤓🤓 Nimecheka kwa sautiiii usikui huu yaani Saint kama Saint....
YNWA
Hee😂😂😂😂Saint Anne huyu Melo ni Chelsea lia lia nakumbuka kipindi kile Chelsea ya moto alikuwa anavimba sana kwenye mitaa fulani. Aah kuna siku tulikutana pale Steers Kijitonyama anirekebishie niweze kutumia JF kwenye blackberry yangu.
Sijui aliona kuna goli lilifungwa katikati ya uwanja na kiungo mmoja anaitwa Alex ghafla alishiba alikataa hata kunywa Juice 🤣🤣🤣
🏆EPL winners 2025 2026.Liverpool have now improved their offer for Hugo Ekitike. Talks ongoing over add-ons with total package worth around €90m. All parties confident.
[@alex_crook]
Aje ndugu yako OllaChuga Oc utajua kama London ni blue ama vipiMelo Bwana
Yaani kabisa anashangilia lile Sinia😹
Atupe umod kwa muda tumpige ban😂
😂😂😂😎😎😎😎Umekula kiporo Cha ndizi si bure wewe.Wacha wee
Hebu tuone ulivyocheka😹
Umecheka kwa kizungu au kibongo?
Ona unaanza kunisingizia ndizi😂😂😂😎😎😎😎Umekula kiporo Cha ndizi si bure wewe.
YNWA