Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hao new Castle wanataka huyo dogo afie hapo au baada wachukue pesa
 
Unajua sometime siamini kama tumeshawasajili kwenye squad yetu😂😂
old-buddies-back-together-v0-q4pd9ysyb2df1.jpeg
 
▪️Alexis Mac Allister amekataa ombi la Bayern Munich kutaka kumsajili mchezaji huyo na pia ameweka wazi kuwa endapo atafikiria kuondoka Liverpool basi ni kujiunga na Real Madrid tu....✍️

▪️Alexander Arnold - Real Madrid ✓
▪️Ibou Konate - Real Madrid soon 😜
▪️Alex Allister - Real Madrid 💣

▪️Hivi Real kuna ushawishi gani na hawa vijana wetu 😏

#sokaburudani
#wanyanyaUpdates
 
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Liverpool advancing in talks for Hugo Ekitike… only if Isak won’t be sold 🔴👀

Liverpool are working with Eintracht and Hugo’s camp discussing final terms in order to reach an agreement.

The deal will be closed 𝐨𝐧𝐥𝐲 if Newcastle will definitely close their doors for 𝐀𝐥𝐞𝐱𝐚𝐧𝐝𝐞𝐫 𝐈𝐬𝐚𝐤 after usual stance remaining not-for-sale since the start of the window…

…and so Liverpool also work on Ekitike after an official proposal from Newcastle (!) was rejected by Eintracht Frankfurt for the French striker on Monday night. 🔀
 
Mashabiki wa timu zingine mna ushamba na utoto mwingi sana. Hivi kuna shabiki wa Liverpool ameshawahi kuingia Kwenye nyuzi za timu nyingine akapost habari za Liverpool?

Au kwa sababu nyuzi za timu zingine hazina visitors kama huu uzi na habari za hizo timu hazisomwi na ndio maana mnakuwa mnazipost kwenye huu uzi?
Ila baadhi ya mashabiki wa Liverpool mna gubu sana, yaani muda wote mnajifanya mpo serious kama wale wanafunzi waliotumwa kusomea kijiji.
Hili ni jukwaa la burudani lakini kila kitu mnataka kuchukulia serious utafikiri ni jukwaa la dini.
Sasa mpira bila mashabiki kutaniana na kutambiana itakua ni burudani au ni ajira ya jeshi?
Mashabiki wa Liverpool huko Uingereza kwenyewe wenye timu yao hawako serious namna hii kama nyinyi.
 
1000085754.jpg

1000085764.jpg

Isak ?
Hugo ?

Mnasema wakuu.
Binafisi naona twende na Hugo...Nina mashaka na rekodi ya Isak kuumia mara kwa mara na vile tutakua na mechi nyingi inanipa shinda kutoa £150m kwa Isak ...
Hugo angalau bei yake sio kubwa sana kwa &90m biashara inaweza kifanyika na bado ikabaki chenji ya kununua beki wa kati.

YNWA
 
View attachment 3408642
View attachment 3408643

Natamani Isak ila nina wasi wasi na FSG kama wataweza kutoa kiasi kikubwa tena
 
View attachment 3408642
View attachment 3408643

Isak ?
Hugo ?

Mnasema wakuu.
Binafisi naona twende na Hugo...Nina mashaka na rekodi ya Isak kuumia mara kwa mara na vile tutakua na mechi nyingi inanipa shinda kutoa £150m kwa Isak ...
Hugo angalau bei yake sio kubwa sana kwa &90m biashara inaweza kifanyika na bado ikabaki chenji ya kununua beki wa kati.

YNWA
Hugo tumchukue kwanza umri wake ni 23 yrs
 
🚨🚨🚨 OFFICIAL BID SENT TODAY BY LIVERPOOL! More follows.
 
Ila baadhi ya mashabiki wa Liverpool mmezidi sana kwa gubu, yaani muda wote mnajifanya mpo serious kama wale wanafunzi waliotumwa kusomea na kijiji.
Hili ni jukwaa la burudani lakini kila kitu mnataka kuchukulia serious utafikiri ni jukwaa la dini.
Sasa mpira bila mashabiki kutaniana na kutambiana itakua ni burudani au ni ajira ya jeshi?
Mashabiki wa Liverpool huko Uingereza kwenyewe wenye timu yao hawako serious namna hii kama nyinyi.
Jamaa wanavyochangia mada hapa kuonesha wako serious na makini sana japo wengi kama si wote wapo nje ya cycle ya timu ya management ya Liverpool. Hadi wengine wanadiriki kusema picha zifutwe kisa siyo picha anazopenda yeye.
 
Hugo tumchukue kwanza umri wake ni 23 yrs

Maoni yangu twende na Hugo, kwa sababu zifuatazo
1. Ekitike bado ana miaka ya kukuwa na anaweza kupatikana kwa £90m au chini.

2. Itaiwezesha Club kubaki na fedha ya kusajili beki wa kati au hata kuongeza winger mwingine.

3. Atakuja akiwa na njaa ya kuthibitisha thamani yake, huku akiendelea ku adopt kwa mfumo wa Slot.

4. Hugo Ekitike ni chaguo la kiuchumi na kisoka kwa muda mrefu.

5. Kwa mfumo wa Liverpool sasa wa press na rotation, Hugo Ekitike na beki bora wa kati inaweza kuwa “smart business.”
 
🚨 𝐄𝐗𝐂𝐋𝐔𝐒𝐈𝐕𝐄: Liverpool 𝐚𝐠𝐫𝐞𝐞 terms with Ekitike and send first proposal to Eintracht 🔴💣

Eintracht informed Liverpool that they want more… but first contact been made as club to club talks continue.

Ekitike said 𝐲𝐞𝐬 Liverpool, no issues on personal terms as player wants the Reds as priority for his future club.

Deal currently considered 𝐨𝐟𝐟 with Newcastle, already exploring different options after Ekitike also rejected.

Mpaka sasa klabu ipo kwenye mazungumzo , naimani atatua, sasa sijui swala la kumhitaji Isak ilikuwa nikuwatisha Newcastle wasimchukue Hugo?🤣
 
Isak, 25, could cost £120m as Liverpool consider spending big with Ekitike 23 set to be over £70m.

Chukua Ekitike hapo na chenji inabaki, uza Konate kwa 25 Ongeza chenji iyakayobaki lete Guehi. Hii ndio smart business
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom