Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hugo any day of the week atue.Hugo tumchukue kwanza umri wake ni 23 yrs
YNWA
Hugo any day of the week atue.Hugo tumchukue kwanza umri wake ni 23 yrs
Isak na mashaka nae kwenye injuries tu nahofia usije kua kama ndugu Thiago...anaweza ku shake off hio trend kama Kane pale Bayern lakini ishu nyingine ni bei yake na mpaka unaona Newcastle wametuma maombi kwa Hugo ni ishara tosha Isak anawataka Liverpool....Natamani Isak ila nina wasi wasi na FSG kama wataweza kutoa kiasi kikubwa tena
Injuries recordsIsak na mashaka nae kwenye injuries tu nahofia usije kua kama ndugu Thiago...anaweza ku shake off hio trend kama Kane pale Bayern lakini ishu nyingine ni bei yake na mpaka unaona Newcastle wametuma maombi kwa Hugo ni ishara tosha Isak anawataka Liverpool....
Frankfurt wameuza Momash kwenda Mancity kwa $80m wakauza Muani kwenda PSG kwa $95m hivyo washajua fika how to deal with the big boys so Newcastle waache empty words aidha wawe direct na Liverpool kuhusu Isak ama wakae pembeni sio kutaka ku play smart wakati wote...
YNWA
huyu ekeitike mbona nimemcheki naona hata Nunez ana afadhali.....mpira hautulii mguuni kabisa yaanHugo any day of the week atue.
YNWA
Hii ni kama nimeielewa, basi nakubaliana na nyie aje EkitikeIsak, 25, could cost £120m as Liverpool consider spending big with Ekitike 23 set to be over £70m.
Chukua Ekitike hapo na chenji inabaki, uza Konate kwa 25 Ongeza chenji iyakayobaki lete Guehi. Hii ndio smart business
Duh unanitisha, mimi hata simjui maana huwa naangalia Liverpool peke yakehuyu ekeitike mbona nimemcheki naona hata Nunez ana afadhali.....mpira hautulii mguuni kabisa yaan
Au mm ndo nimemuangalia kwa wenge
Yuko vizuri. Mmepata bonge la chezaji. Sisi tulimtaka kabla hata ya Sesko na Gyokeres ila Frankfurt wakatuambia wanataka €100m, tukahamia kwa Sesko na huko tukaambiwa £92m huko, ikabidi tujitahidi kumalizana na Gyökeres.huyu ekeitike mbona nimemcheki naona hata Nunez ana afadhali.....mpira hautulii mguuni kabisa yaan
Au mm ndo nimemuangalia kwa wenge
Mimi Nina wasi wasi nae huyo mchezaji maana haiwezekani atajiwe Liverpool fasta tu akubaliYuko vizuri. Mmepata bonge la chezaji. Sisi tulimtaka kabla hata ya Sesko na Gyokeres ila Frankfurt wakatuambia wanataka €100m, tukahamia kwa Sesko na huko tukaambiwa £92m huko, ikabidi tujitahidi kumalizana na Gyökeres.
Ila msiingie kichwa kichwa kwenye mazungumzo. Hugo si striker wa zaidi ya £60m. Vuteni subira kidogo mpaka mwezi wa 8 hivi bei itakuwa imeshuka. Si mmeona sisi tumemchukua Gyökeres kwa £55m, wakati Sporting walijidai eanataka £80m huko?
mwaka huu tumepaniaaaaaaaaaView attachment 3408999
Tajiri kavurugwa usishangae akamtaka Messi au Cristiano
Historia yake ya injuries ni ipi?Isak na mashaka nae kwenye injuries tu nahofia usije kua kama ndugu Thiago...anaweza ku shake off hio trend kama Kane pale Bayern lakini ishu nyingine ni bei yake na mpaka unaona Newcastle wametuma maombi kwa Hugo ni ishara tosha Isak anawataka Liverpool....
Frankfurt wameuza Momash kwenda Mancity kwa $80m wakauza Muani kwenda PSG kwa $95m hivyo washajua fika how to deal with the big boys so Newcastle waache empty words aidha wawe direct na Liverpool kuhusu Isak ama wakae pembeni sio kutaka ku play smart wakati wote...
YNWA
Iska is proven kwenye eplInjuries records
Season Injuries Days Out Matches Missed
2024–25 Groin (Feb), Hamstring (Jan), Broken toe (Sep–Oct ’24) 43 9
2023–24 Two groin issues 56 12
2022–23 Thigh problems 107 18
2021–22 Hamstring & knee issues 28 5
2018–19 Multiple arm, shoulder, shin, ill spells 66 15
2017–18 Knee problems 33 8
Injury rekodi ya Isak hii hapa...Historia yake ya injuries ni ipi?
Baada ya kumkosa ndio unajua kama majeruhi ukweli ni kwamba huyo ekitike ni Nunez namba 2Injury rekodi ya Isak hii hapa...
View attachment 3409197
View attachment 3409198
Mkeka ndio huu wa majeruhi ya dogo Isak
YNWA