Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Baada ya kumkosa ndio unajua kama majeruhi ukweli ni kwamba huyo ekitike ni Nunez namba 2
Hugo injury record
1000086369.jpg

YNWA
 
Yuko vizuri. Mmepata bonge la chezaji. Sisi tulimtaka kabla hata ya Sesko na Gyokeres ila Frankfurt wakatuambia wanataka €100m, tukahamia kwa Sesko na huko tukaambiwa £92m huko, ikabidi tujitahidi kumalizana na Gyökeres.

Ila msiingie kichwa kichwa kwenye mazungumzo. Hugo si striker wa zaidi ya £60m. Vuteni subira kidogo mpaka mwezi wa 8 hivi bei itakuwa imeshuka. Si mmeona sisi tumemchukua Gyökeres kwa £55m, wakati Sporting walijidai eanataka £80m huko?
Tunaleta mchezajj sasa hivi ili aingie kwenye tuition ya Teacher Slot mapema, asije kushindwa kujibu maswali ya akina Saliba na wenzake😂
 
Florian Wirtz Achagua Liverpool FC Baada ya Ushindani Mkali na Bayern Munich

Baba yake Florian Wirtz amefunguka kuhusu maamuzi yaliyopelekea nyota huyo chipukizi kuhamia Liverpool FC, licha ya jitihada kubwa kutoka kwa Bayern Munich.

Vilabu vilivyokuwa vinamwania
“Vilabu kadhaa vilionesha nia, lakini mwishowe, Bayern na Liverpool walikuwa washindani wa kweli pekee,” amesema baba wa Wirtz.

Taarifa za makubaliano na Bayern
Kuhusu taarifa zilizoripotiwa na Bild kuwa Florian alikuwa amekubaliana na Bayern, baba yake amesema:
“Singeweza kutoa ahadi yoyote kwa sababu Florian ndiye anayefanya uamuzi wa mwisho. Wakati huo, mambo yalikuwa bado hayajakaa sawa. Hali ya Bayern ilikuwa ngumu kwa sababu Uli Hoeneß na Karl-Heinz Rummenigge walijitahidi sana na pia walifanya uchambuzi wa wazi kuhusu nafasi zake za michezoni.”

Mazungumzo ya mwisho na Hoeneß
“Tulikuwa tumezungumza mara kadhaa kabla, kwa hiyo alibaki kuwa mkweli na wa haki kama nilivyomjua. Lakini bila shaka hakuweza kuficha masikitiko yake. Mwishowe, alikuwa amejitahidi sana binafsi kuhakikisha uhamisho huu unafanikiwa.”

Uamuzi wa mwisho wa Wirtz
“Florian alikuwa na hisia hii, na tulielewa na tukamuunga mkono kabisa. Tulijiwekea muda wa mwisho hadi Alhamisi [baada ya kikao cha siri na Liverpool]. Wote watatu tulikuwa na mtazamo sawa, na hivyo tukafanya uamuzi kwa niaba ya Liverpool kwa pamoja. Florian aliona uhamisho kwenda nje ya nchi kama changamoto mpya binafsi na ya michezo, na kwa sababu hiyo alichagua Liverpool FC. Tulikubaliana naye kwenye hilo.”

Mazungumzo na Arne Slot
Kuhusu kama mazungumzo na kocha mpya wa Liverpool, Arne Slot, yalikuwa ya maamuzi, alisema:
“Unaweza kusema hivyo. Arne Slot aliweza kumshawishi Florian upande wa michezo. Ni mtu mwenye urafiki mkubwa pia. Florian daima amefanya vizuri akiwa chini ya makocha wanaompa uhuru na wanaoonesha huruma. Anaona soka la England ni la kuvutia kwa sababu linategemea kasi na nguvu. Arne Slot aliwasilisha falsafa yake ya uchezaji, mbinu za timu wakati wa kumiliki mpira na pressing, na jinsi Florian anaweza kukuza nguvu zake humo. Hilo lilimvutia sana Florian. Hali ya mazoezi Liverpool pia ilikuwa ya kuvutia sana. Zaidi ya hayo, Florian sasa yupo kwenye umri mzuri wa kwenda kucheza nje. Ukisha kuwa na familia, huwezi kuwa huru vile tena.”

Jitihada za Kompany na Bayern
“Vincent Kompany pia alikuwa na mawazo na mipango mizuri sana kuhusu jinsi alivyotaka kumuingiza Florian kwenye timu ya Bayern Munich. Mwishowe, kilichofanya tofauti ni vitu vidogo ambavyo vilihusiana na hali tofauti za michezo na nafasi ya Florian. Na upande wa kifedha, hakukuwa na tofauti kubwa kati ya vilabu viwili. Kwa mara nyingine: Bayern Munich walijitahidi sana, lakini uamuzi ulipaswa kufanywa.”

Tafsiri kwa hisani ya GPT
 
Baada ya kumkosa ndio unajua kama majeruhi ukweli ni kwamba huyo ekitike ni Nunez namba 2
Mkuu jitahidi kua na maneno ya akiba. Maoni yangu kwa Isak yapo vile vile wakati wote anatufaa ndio lakin hili la majeruhi ya mara kwa mara nalo litazamwe.
Tulisema wakati wa Thiago tangu yupo Bayern kwamba mikiki ya EPL sio ya Indian Biscuits bones lakini bado klabu ikamchukua with cool 200k salary kwa wiki matokeo yake alikua wodini muda mwingi kuliko uwanjani...
Wewe Fanya analysis yako uone kwa mfumo wa Slot wa total control huyu dogo atatoboa aje...

Kuna watu wa kuwajibu lakini sio huyo mkuu, nilishamuignore kitambo
 
-Florian Wirtz is 22 yrs
-Gravenberch is 23 yrs
-Cornor Bradley is 22 yrs
-Frimpong is 24yrs
-Milos Kerkez is 21yrs
-Szoboszlai is 24yrs
-Mamardashvili is 24yrs
-Mo Salah aging like Fine Wine.
-Konate is 26yrs
-Mac Allister is 26yrs
-VVD is 34yrs
-Ekitike is 23 yrs
-Jones is 24yrs
-Rio Ngumoha is 16yrs
- Gakpo is 26yrs

Dynasty for a decade🔥
 
Yuko vizuri. Mmepata bonge la chezaji. Sisi tulimtaka kabla hata ya Sesko na Gyokeres ila Frankfurt wakatuambia wanataka €100m, tukahamia kwa Sesko na huko tukaambiwa £92m huko, ikabidi tujitahidi kumalizana na Gyökeres.

Ila msiingie kichwa kichwa kwenye mazungumzo. Hugo si striker wa zaidi ya £60m. Vuteni subira kidogo mpaka mwezi wa 8 hivi bei itakuwa imeshuka. Si mmeona sisi tumemchukua Gyökeres kwa £55m, wakati Sporting walijidai eanataka £80m huko?
Ninyi tangu zama za Wenger mnajulikana ni mabahili ndio maana mnapishana na vikombe. Yule GOKYERES ni flop afadhali ya KAI
 
Mkuu jitahidi kua na maneno ya akiba. Maoni yangu kwa Isak yapo vile vile wakati wote anatufaa ndio lakin hili la majeruhi ya mara kwa mara nalo litazamwe.
Tulisema wakati wa Thiago tangu yupo Bayern kwamba mikiki ya EPL sio ya Indian Biscuits bones lakini bado klabu ikamchukua with cool 200k salary kwa wiki matokeo yake alikua wodini muda mwingi kuliko uwanjani...
Wewe Fanya analysis yako uone kwa mfumo wa Slot wa total control huyu dogo atatoboa aje...

YNWA
Ni sahihi ila huyo jamaa Mimi simuaminu kama ilivyo Kwa isak angekuja uefa ilikua hii hapa mezani
 
-Florian Wirtz is 22 yrs
-Gravenberch is 23 yrs
-Cornor Bradley is 22 yrs
-Frimpong is 24yrs
-Milos Kerkez is 21yrs
-Szoboszlai is 24yrs
-Mamardashvili is 24yrs
-Mo Salah aging like Fine Wine.
-Konate is 26yrs
-Mac Allister is 26yrs
-VVD is 34yrs
-Ekitike is 23 yrs
-Jones is 24yrs
-Rio Ngumoha is 16yrs
- Gakpo is 26yrs

Dynasty for a decade🔥
Rio the dancer 🔥🔥🔥🔥

YNWA
 
Ninyi tangu zama za Wenger mnajulikana ni mabahili ndio maana mnapishana na vikombe. Yule GOKYERES ni flop afadhali ya KAI
Wewe kwenu si mna Onana na Maguire halafu striker wa kutegemewa na Zirkzee? Mnamleta Martinez golini ili awe mchezaji bora wa kila msimu kama ilivyokuwa kwa De Gea, ila mjue tu hamtaweza kuwazuia kina Gyokeres, Ekitike na kina Isak na mwishowe mtamuona Martinez mwenyewe kama hawatoshi.
 
-Florian Wirtz is 22 yrs
-Gravenberch is 23 yrs
-Cornor Bradley is 22 yrs
-Frimpong is 24yrs
-Milos Kerkez is 21yrs
-Szoboszlai is 24yrs
-Mamardashvili is 24yrs
-Mo Salah aging like Fine Wine.
-Konate is 26yrs
-Mac Allister is 26yrs
-VVD is 34yrs
-Ekitike is 23 yrs
-Jones is 24yrs
-Rio Ngumoha is 16yrs
- Gakpo is 26yrs

Dynasty for a decade🔥
Sijaona dogo langu Doak
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom