Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,696
Hajielewi huyoKwahiyo kama mtu harudi ndio umuache usizike
Kwa akili zako hizi no wonder una mtazamo wa ajabu.
Lakini pia wewe si Shabiki wa Liverpool pengine uzito wa hilo jambo unatofautiana baina yetu.
Kwahiyo wewe huwa wanaoenda msibani, unadhani wanaenda ili marehemu afufuke?
Sijui ni kwanini, ila mimi nadhani maamuzi yakustaafisha hiyo jezi no. 20 sio sahihi, unless waiwekee muda maalumu otherwise history inaweza kuwahukumu.NEW: Liverpool have confirmed the club have retired Diogo Jota's number 20 shirt. Diogo Jota - Forever our number 20.
Michael Edwards: “As a club, we were all acutely aware of the sentiment of our supporters – and we felt exactly the same way.”
“It was vitally important to us to involve Diogo’s wife, Rute, and his family in the decision and to ensure they were the first to know of our intention.
“I believe this is the first time in Liverpool Football Club’s history that such an honour has been bestowed upon an individual. Therefore, we can say this is a unique tribute to a uniquely wonderful person.
“By retiring this squad number, we are making it eternal – and therefore never to be forgotten.
“Diogo joined us in 2020, he won us number 20, and he wore – with honour, distinction and affection – the number 20.
“As far as Liverpool Football Club is concerned, he will be forever our number 20.”
Usiipangie wenye timu Yao Cha kufanya anzisha timu Yako halafu usiistafishe jezi namba 20Sijui ni kwanini, ila mimi nadhani maamuzi yakustaafisha hiyo jezi no. 20 sio sahihi, unless waiwekee muda maalumu otherwise history inaweza kuwahukumu.
Unajibu tu hovyo, upo timamu kweli? Jaribu kumuelewa ana logic, sisi ni binadamu let say huko mbeleni akafariki mwingine na mwingine watastaafisha jezi zao? wasipostafisha tutarudi huku nyuma kuuliza why huyu ilistafishwa na wote ni walikua wachezaji wa liva?Usiipangie wenye timu Yao Cha kufanya anzisha timu Yako halafu usiistafishe jezi namba 20
Sell both
Huyu mwangi anafuata nini huku?Usiipangie wenye timu Yao Cha kufanya anzisha timu Yako halafu usiistafishe jezi namba 20
Uulize we ndio mwenye timu wenye timu wameshaongea kwamba hiyo jezi inastaafishwa we hayakuhusu anzisha timu Yako upange masharti hayoUnajibu tu hovyo, upo timamu kweli? Jaribu kumuelewa ana logic, sisi ni binadamu let say huko mbeleni akafariki mwingine na mwingine watastaafisha jezi zao? wasipostafisha tutarudi huku nyuma kuuliza why huyu ilistafishwa na wote ni walikua wachezaji wa liva?
Yes pengine kwa kua sio shabiki wa liva, ila haimaanishi sijaguswa na msiba. Kwa kua ni mtu ninaemfahamu. Ndio mana nilisema hapo awali kua misiba hiyo miwili nimeguswa zaid na Jota mana ndio nilikua nikimfahamu, huyo mdogo wake nimeumia tu kwa kua ni binadamu mwenzangu.Kwahiyo kama mtu harudi ndio umuache usizike
Kwa akili zako hizi no wonder una mtazamo wa ajabu.
Lakini pia wewe si Shabiki wa Liverpool pengine uzito wa hilo jambo unatofautiana baina yetu.
Kwahiyo wewe huwa wanaoenda msibani, unadhani wanaenda ili marehemu afufuke?
Upo sahihi kwa mtizamo wako.Usiipangie wenye timu Yao Cha kufanya anzisha timu Yako halafu usiistafishe jezi namba 20
Abaki tu. Pengine ana hoja kwenye hilo. Ngoja akija kutoa ufafanuzi wa alichoandika.Huyu mwangi anafuata nini huku?
Admin tuondoleeni hizi public anuses kwenye forum
Raha ya ushabiki kwa team ni pamoja na mashabiki kuwa na vijiwe vya ku chart kama hivi. Tunakosoa, tunashauri, hata kama hayawafikii walengwa.Uulize we ndio mwenye timu wenye timu wameshaongea kwamba hiyo jezi inastaafishwa we hayakuhusu anzisha timu Yako upange masharti hayo
Namimi nawaza kama ww tuAende you
Nq anavyokumbwa na kuumia mara kwa mara
Aende tu
HujamuelewaAbaki tu. Pengine ana hoja kwenye hilo. Ngoja akija kutoa ufafanuzi wa alichoandika.
Nilichomuelewa yeye ni kama rais wangu Malafyale, hataki tuwe tunajadili maamuzi yeyote yanayofanywa na viongozi wa Liverpool, anaona kama tunawa offend kwa kukosoa maamuzi yao.Hujamuelewa
Watu hawaelewi kila mtu ana mawazo na maono yake, katu hatuwezi kufanana. Kila mtu yupo sahihi kwa upande wake kw namna anavyolichukulia jambo.Nilichomuelewa yeye ni kama rais wangu Malafyale, hataki tuwe tunajadili maamuzi yeyote yanayofanywa na viongozi wa Liverpool, anaona kama tunawa offend kwa kukosoa maamuzi yao.
Kwa namna gani kuachwa? Mwili utaifadhiwa kwa mujibu wa ratiba iliyowekwa, Ila hata katika hali ya kutokuwa na thamani mwili wa marehemu, unapooza na kugeuka kuwa udongo, BADO WATU WATAKUWA WANAFURAHIA NA KUJIVUNIA LEGACY YA MAREHEMU. Wanapaswa kufurahi na Kesherehekea kwa heshima ya kumbukumbu alizoacha marehemu. Hiki ndicho kilichozaa Sikukuu nyingi zinazohusisha watu mashuhuru walioishi vema.Kwahiyo hizo jamii wanaponda raha kusherekea wakati wa mazishi afu marehemu wanamuacha apambane na hali yake?
Imestaafishwa at the moment ili kumpa Jota heshima yake, ila amini kwamba miaka itapita watu watasahau na bussiness itaendeleaSijui ni kwanini, ila mimi nadhani maamuzi yakustaafisha hiyo jezi no. 20 sio sahihi, unless waiwekee muda maalumu otherwise history inaweza kuwahukumu.
My best player so far🤍💭 “Real Madrid DREAM is Mac Allister… but it would cost over €100M and it’s IMPOSSIBLE”, says Cope today. ❌
Ubongo wako umejaa mavi ndio maana hapa umeandika mavi matupu