Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani huyu aliyemuumiza sijui anasikiaje🥺
Yote Kwa yote heri angepanda ndege tu tujue moja kuwa mapafu yalimuua, kulikoni ajali😭,
hivi wachezaji wetu wao huwa hawana madereva katika safari za masafa marefu?

Yote kwa yote naona nge zimekuwa nyingi yaani apumzike tu kwa amani Jota wetu.
Angalau sasa amezikwa mioyo imeanza kupoA.
 
View attachment 3398100

Death is cruel....such a lovely family...
Can't picture the wife situation as of now reality slowly soaking 😞😞

YNWA
Yaani huyu Dada, pamoja na Mama wa Jota
Nawaonea huruma sana.
Ila Dunia muda mwingine inakugeuka .. Mungu pekee awape mioyo ya ujasiri.
Wajue kuwa marehemu ameenda sehemu nzuri zaidi na siku ya mwisho wataonana na mpendwa wao.
Duniani siyo nyumbani kwetu.
 
Yaani huyu Dada, pamoja na Mama wa Jota
Nawaonea huruma sana.
Ila Dunia muda mwingine inakugeuka .. Mungu pekee awape mioyo ya ujasiri.
Wajue kuwa marehemu ameenda sehemu nzuri zaidi na siku ya mwisho wataonana na mpendwa wao.
Duniani siyo nyumbani kwetu.
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 Duniani wote ni wapita njia.
Ki ukweli familia yake imepata pigo kubwa sana yaani haielezeki kabisa unajua.
Mungu awape nguvu kupita salama kwenye huu mtihani

YNWA
 
Nisha zoea niki Anza kucheza league kwenye ps, basi favorite striker ninaye msajili ni jota.

Leo nime msajili, Kisha nika m release as a free agent.
can't picture myself going mdogo hivi, sema ndio maisha.
FB_IMG_17515335642583866.jpg
 
Arne Slot replaced Jürgen Klopp’s infamous lactate test with a six-minute race test for several key reasons, all rooted in modern sports science, practicality, and his coaching philosophy.

1. Less invasive, more player-friendly

Klopp’s lactate test involved repeated running (usually 800m laps) while taking blood samples from the earlobe after each stage to measure lactic acid levels.

It was painful, lengthy, and unpopular with players. Many saw it as a brutal preseason ritual.

Arne Slot’s six-minute race test simply requires players to run as far as possible in 6 minutes, making it:

Easier to execute

Less painful

More engaging and competitive

Still physically demanding and informative

2. Equally effective for fitness monitoring

The six-minute test (also called the Cooper test variant) is scientifically validated to measure:

VO2 max (aerobic capacity)

Cardiovascular fitness

Stamina & endurance levels


It provides reliable baseline data without needing blood samples, and it's easier to repeat for comparison.

3. Slot’s focus on practical intensity, not just endurance

Slot is more interested in match-relevant fitness than punishing endurance drills.

His philosophy favors:

Sharp bursts

Tactical running

Game-specific conditioning


The 6-minute run reflects real match pace and mental competitiveness, rather than pure lab-based data.

4. Simpler logistics for large squads

No need for medical staff to do blood tests.
Can be conducted in one session with the full squad.
Faster results and easier to benchmark across positions.

5. Culture shift from ritual to performance

Klopp’s lactate test became more of a symbolic “initiation.”

Slot wanted a clean break, replacing it with a modern, functional, and less feared fitness challenge.

Arne Slot changed the test to balance science, practicality, and player morale—marking a new era where fitness is serious but not torturous.
 
Sisi tuta hakikisha tunashinda CWC ili kumuenzi ndugu Jota,

Mumeonq kazi ya Jao Pedero?? Allison ajipangee..

Rest Easy ndugu Jota & Silva 💔💔
 
yeah na hapo ndio tunapokuwaga tofauti na club nyingi hii ni root kuwa liverpool aise ni zaidi ya shabiki unaajikuta ni familia, we angalia hata page za clubu tofaut posst zao alafu tafuta pages za clubu compare lazima utaona utofauti.
Acha ushamba wewee takataka 😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom