Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 3398337

Leo vijana wameaza mazoezi kwa ajili ya msimu mpya.

Jumapili mech ya kwanza ya kirafiki Liverpool vs Preston.

YNWA
Huyo mwenye kofia hapo juu kwa heshima zote tunaomba atoe hiyo kofia imeziba machi
Asije kudondoka bure bado tuna machungu sisi 😭
Ghafla nimeogopa magari😭

Shetani anaona wachezaji hawezi kuwapata kwenye magonjwa maana wapo fit muda wote wanakula zoezi.

Vifo vyao vingi ajali
Mara mtu kadondoka na private jet
Yaani utajiri wake unamuua mwenyewe
 
Aende tu
NImeona sehemu eti wanasema hakwenda msibani kwa jota, ni kweli?
Hakwenda ndio na akajipiga picha yupo kwao kwenye Party na Washikaji wanakula Bata tu.

Wakati Yeye baba yake ametekwa Jota alikuwa anam sapoti sana na hata alipofunga goli alionyesha jezi yake kama kumpa pole na kumfariji
 
Huyo mwenye kofia hapo juu kwa heshima zote tunaomba atoe hiyo kofia imeziba machi
Asije kudondoka bure bado tuna machungu sisi 😭
Ghafla nimeogopa magari😭

Shetani anaona wachezaji hawezi kuwapata kwenye magonjwa maana wapo fit muda wote wanakula zoezi.

Vifo vyao vingi ajali
Mara mtu kadondoka na private jet
Yaani utajiri wake unamuua mwenyewe
Eti ni Frimpong

Asiitoe imempendezesha mnooooo
 
Aliiposti kwenye page yake mwenyewe?😳😳
IMG-20250706-WA0010.jpg
 
Hakwenda ndio na akajipiga picha yupo kwao kwenye Party na Washikaji wanakula Bata tu.

Wakati Yeye baba yake ametekwa Jota alikuwa anam sapoti sana na hata alipofunga goli alionyesha jezi yake kama kumpa pole na kumfariji
Kumbe ni kweli
Wivu utamuua
Na wala hawezi fikia hata nusu ya uwezo wa Jota golini.

Kana wivu hadi Kwa marehemu
Huyu Diaz roho mbaya
Atuachie tu timu yetu aende.
 
Hiyo aliyopiga penati dhidi ya Kepa ndio mechi yangu bora kuwahi kutokea.

Liver inauxa golikipa kama huyu ila imeacha mapazia yasiyodaka penati.
Mechi zote zinazoenda penati tujiandae kupata maumivu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akiwepo golini Allison uwe na amani. Japo kocha wake wa makipa anaemwamini ametemwa na klabu naamini bado tupo kwenye mikono salama.

YNWA
 
KaDiaz kachawi
Hata Salah, Alisson Becker, Cristiano Ronaldo hawakuhudhuria mazishi
Hao hawakuhudhuria ila tumeona wameguswa na Msiba.
Cr7 alitoa sababu
Na nadhani hata baada ya mazishi atakuwa alienda
Na ameahidi kusaidia familia ya marehemu.

Tofauti na huyu mwendawazimu wa kuitwa Diaz.
Mtu ulikuwa naye kazini eti unashindwa kwenda!
Aisee
Sijui hata alikuwa anajisikiaje, wenzako wote wapo msibani pekeyake anaambaa ambaa.
Watu wa Tukuyu na viungo vyake tulijawa naa huzuni siku za msiba zilikuwa nzito hata makazini ila jitu lipo hukohuko halitaki kwenda na wenzie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom