Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pole sana Mkuu
Naelewa maumivu yako vizuri maana mimi pia nilifiwa na Mzazi miaka michache nyuma.

Omba Mungu akupe ustahimilivu, Si rahisi.
Ila pia usiache kupita huku jukwaa la michezo
Utapata uchangamfu wa akili.
Jichanganye na watu , ukipata muda wa kuongea, ongea, lia, ukipata watu wa kukusikiliza hisia zako usiache kuongea... Inapunguza machungu.

Nawaombea familia nzima
Mungu asiwaache katika kipindi hiki kigumu.
Twajua ya kuwa Mungu aweza kufanya mambo yote makusudi yake kamwe hayazuiliki.
Bwana alitoa na sasa ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.
Asante sana kwa maneno yako yenye kunitia nguvu mtakatifu Anne maneno yako yana uzito wa hali ya juu sana kimwili na kiroho.

Yaan umeandika maneno yenye faraja ambayo hata rafiki zangu wa karibu hawajawahi kuyasema zaidi tu ya kuniambiia pole na kisha wanapita zao hivi, ubarikiwe sana dada.

Kuhusu kupita huku kwenye majukwaa ya michezo, nafanya sana japo siji mara kwa mara kwenye hili jukwaa lenu.. you know i am ardent gooner and my blood is red and white in color.

#COYG
 
Na Club imeamua kusomesha watoto wake, i love you Liverpool, I love you FSG
yeah na hapo ndio tunapokuwaga tofauti na club nyingi hii ni root kuwa liverpool aise ni zaidi ya shabiki unaajikuta ni familia, we angalia hata page za clubu tofaut posst zao alafu tafuta pages za clubu compare lazima utaona utofauti.
 
yeah na hapo ndio tunapokuwaga tofauti na club nyingi hii ni root kuwa liverpool aise ni zaidi ya shabiki unaajikuta ni familia, we angalia hata page za clubu tofaut posst zao alafu tafuta pages za clubu compare lazima utaona utofauti.
Ndio umeongea nini Sasa mzee hapo mwishoni page za club sijakuelewa
 
1000077576.jpg


YNWA
 
Liverpool begin pre-season on Tuesday and in the dressing room at the AXA Training Centre there will be an empty seat between Harvey Elliott and Kostas Tsimikas. Missing will be not a friend to two people but a friend to everyone. His name is Diogo.

Conor Bradley will not have the big brother who helped him settle when he arrived from the academy, who played the Fifa video game with him and went with him to Cheltenham races. Alexis Mac Allister will be without the smile he loved, Darwin Núñez the companion. Luis Díaz won’t have the guy who, in his hour of need, when his dad was in danger, scored a goal and held up a “Díaz” shirt.

For Tsimikas the pal who joined the club the same summer, back in 2020, won’t be there. They had their own banter. “You cross, I score,” Diogo would joke — and gloriously at Nottingham Forest that’s exactly what happened moments after they both came on as substitutes.

For Andrew Robertson, missing is maybe his best mate in the whole squad. Robbo was at Cheltenham with him too, and the darts, and at his wedding only two weeks ago. He was that type of friend, Robbo posted, who makes your life better and their goodbye is too soon and hurts so much.

[Jonathan Northcroft]
 
◾FC Bayern Munich wana ripotiwa kuingia Makubaliano Binafsi na Winga wa Liverpool Luis Diaz 🇨🇴 ili kupata huduma yake kuelekea Msimu ujao ,

Mpaka Sasa upande wa Diaz unafanya jitihada zote za mchezaji wao kuondoka Liverpool na kupata changamoto nyingine nje ya Liverpool na hiko sio kikwazo kabisa Kwa upande wa Liverpool

Mikakati ya Liverpool bado inabaki pale pale kwamba ili kumtoa Diaz ndani ya klabu Yao nilazima utoe pesa ambazo zita washawishi la sivyo Diaz haondoki Liverpool,

Bayern Munich walisha waulizia Liverpool lakini Kwa udogo wa Dau lao Liverpool wali watolea nje , klabu ya Liverpool Ina amini kiasi Cha €80m ndio pesa sahihi ya kumpata Diaz ,zunguka ujuavyo wao ndio waamuzi wa mwisho ,

▪️Bila kusahau klabu ya Liverpool Haina taratibu za vipengele vya mauzo katika Mikataba ya Wachezaji wao hivyo Ukitaka Mali kutoka kwao lazima kikao kikubwa kihusike kupangiana Bei .

Boniphace Shabani 🇹🇿
 
Asante sana kwa maneno yako yenye kunitia nguvu mtakatifu Anne maneno yako yana uzito wa hali ya juu sana kimwili na kiroho.

Yaan umeandika maneno yenye faraja ambayo hata rafiki zangu wa karibu hawajawahi kuyasema zaidi tu ya kuniambiia pole na kisha wanapita zao hivi, ubarikiwe sana dada.

Kuhusu kupita huku kwenye majukwaa ya michezo, nafanya sana japo siji mara kwa mara kwenye hili jukwaa lenu.. you know i am ardent gooner and my blood is red and white in color.

#COYG
Arse8 watani zetu😁
Karibu Liverpool,jukwaa la wasomi la mpira 😃
Mungu na azidi kukupa faraja
Tambua tu kuwa hakuna mwanadamu anayeweza kutoa faraja inayotoshea maumivu unayopitia. , hiyo faraja toshelevu anayo Mungu mwenyewe
Watu watajitahidi kukupa faraja ila kuna muda unafika unakuwa wewe mwenyewe na kumbukumbu za Mpendwa zinaanza kujirudia.
Kama Mungu ameruhusu mpendwa wengi aondoke basi amini kuwa anayo plan ya namna ya kukuvusha.. anajua namna gani mtasurivive bila yeye.

Endelea kumshukuru Mungu hasa kwa kipindi chote mlichobahatika kuishi naye.
Life won't be the same ila MUNGU ni mwema sana anatupa kusahau na hupooza mioyo siku hadi siku.
With time, maumivu yatapungua.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom