Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Ni yeye tu mwendawazimuWatoto wa America ya Kusini wana makuzi ya hovyo na adabu wengi wao hawana
1. Richarison
2. Vini Jr
Ni yeye tu mwendawazimuWatoto wa America ya Kusini wana makuzi ya hovyo na adabu wengi wao hawana
1. Richarison
2. Vini Jr
Díaz anafanya vitimbi anataka kuondoka na tayari ameshaanza mazungumzo na Bayern Munich na wameshakubaliana bado Kuja kukaa mezani na Hughes na Michael Edwards.KaDiaz kachawi
Hao hawakuhudhuria ila tumeona wameguswa na Msiba.
Cr7 alitoa sababu
Na nadhani hata baada ya mazishi atakuwa alienda
Na ameahidi kusaidia familia ya marehemu.
Tofauti ba huyu mwendawazimu wa kuitwa Diaz.
Mtu ulikuwa naye kazini eti unashindwa kwenda!
Aisee
Sijui hata alikuwa anajisikiaje, wenzako wote wapo msibani pekeyake anaambaa ambaa.
Watu wa Tukuyu na viungo vyake tulijawa naa huzuni siku za msiba zilikuwa nzito hata makazini ila jitu lipo hukohuko halitaki kwenda na wenzie.
Colombia aliishi muuza madawa ya kulevya maarufu Pablo Escobar. Kizazi cha laana kule MedeliniNi yeye tu mwendawazimu
Hatari sanaColombia aliishi muuza madawa ya kulevya maarufu Pablo Escobar. Kizazi cha laana kule Medelini
Kuondoka kwenye club ndio asiende msibani!?Díaz anafanya vitimbi anataka kuondoka na tayari ameshaanza mazungumzo na Bayern Munich na wameshakubaliana bado Kuja kukaa mezani na Hughes na Michael Edwards.
Kutohudhuria mazishi ya Jota hii ilikuwa ni makusudi tu hata Mashabiki wa Liverpool sijui watamuonaje?
Watoto wa Ki Brazil, Colombia akili zao chafu sanaKuondoka kwenye club ndio asiende msibani!?
Yaani sikujua jamaa ana akili za ajabu hivi
Guehi anakuja🚨🚨🤯 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: “Ibou Konaté is REJECTING new deal proposals from Liverpool. He wants REAL MADRID LIKE TRENT”, says Marca. 🤍
His contract expires in June 2026. 😱👀
Huyu mr. 🐢 Aende tu kama Guehi anakuja.Guehi anakuja
Usikariri Miss Liverpool....Hadakagi penati huyo
Wapi nimesema yupo chini?Usikariri Miss Liverpool....
Mpaka klabu kuamua kubakia na Allison ina maana yupo juu 🔥🔥 ya Kelleher
YNWA
Tuna Marmadashivil ameokoa penati 7Wapi nimesema yupo chini?
Maamuzi ya kumuuza kelleher ni masmuzi wrong sana
Alikuwa msaada mkubwa kwenye baadhi ya mechi.
Acheni chuki, kisa anataka kuwakimbia. Acheni hizo, kwani ni yeye peke yake tu ndio hajahudhuria. Hao wa kina ronaldo tena ndio ndugu kabisa nchi moja nackia hawajahudhuria. au wao walikua na dharura wengine hawaruhusiwi kua na dharura.Watoto wa Ki Brazil, Colombia akili zao chafu sana
Chuki Kwa diaz kuhusu jota ni Kwa mashabiki wenye timu Yao wa anfield ndio walizozianzisha wala sio wewe mtu mweusi wao ndio wamefanya wengine wakajua kwamba jamaa hakuwepo msibani na siku hiyo alikua anakula BataDiaz kutohudhuria msiba wa Jota haina uhusiano wowote na kutokuwa na machungu, na hata asipokuwa na machungu na mambo yanayohusiana na vifo hatuwezi kumtwisha mzigo wa ubaya kwa maamuzi na imani yake. Nadhani waliotuambukiza baadhi yetu sisi waafrika kuhusu tabia ya nama yaku behave mmoja wetu akifariki ndo waliosababisha tuwaone wengine kama wakosaji wanapo behave tofauti. But in reality VIFO vipo na once unapojua na wewe utakufa huwezi kuogopa sana kifo wala kusikitika kwa muda mrefu sana. Tusijenge chuki kwa Diaz. Kila mmoja na destiny na fate yake.
YNWA