Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Luis Suarez
diogo-jota-tribute-thread-by-players-teammates-coaches-etc-v0-rm5c6fkkfoaf1.jpeg
 
Utakuta waswahili nao wanaiga kma wazungu kuzaa watoto wawili huku akijitapa mimi watoto wengi wa nini

Ndo inakuja kutokea kma hivi mtu huna ata wa kukupeleka hospital
Hii imetokea kwa Ba Mkubwa ana watoto wawili wa Kike kafariki kaacha mali nyingi yaani Mke wake kachanganyikiwa ndio anawakumbuka hata watu ambao alikuwa anawaona hawafai anagawa tu mali
 
Hii imetokea kwa Ba Mkubwa ana watoto wawili wa Kike kafariki kaacha mali nyingi yaani Mke wake kachanganyikiwa ndio anawakumbuka hata watu ambao alikuwa anawaona hawafai anagawa tu mali
Dah

Mwamba ushahamia kwenyr mali😂😂😂😂😂

Hatq mazishi Bado?? 😆😆😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom