Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,272
Kama tutamkosa Isak ni bora Diaz tumtumie kama ST tusubiri kumsajili Isak msimu ujao
Tatizo kubwa sasa hivi ni kwamba washambuliaji wa asili wamepotea, Dunia nzima hakuna strikers wa maana wa kutegemewa.
Ukiangalia kwa daraja la juu, tumebakiwa na Haaland, Isak, Kane na Alvarez tu.
Wengine kama Retegui na Lautaro Martinez hawako kwenye hiyo profile, halafu unakutana na akina Ekitike na Sesko bei juu 80ml na bado inakuwa kama kamari.
Ndio maana Madrid na PSG wameamua kubadili mchezo wanachezesha wingers kama washambuliaji mbele, hakuna tena yule mshambuliaji wa kusubiri mpira wa mwisho