Talent iliyouliwa na injuries.
Tupo nayeye hadi atushushe daraja😃Asepe tu uwe na amani 🤣🤣🤣🤣
YNWA
Gakpo for life
🤓🤓🤓🤓🤓🤓kitu roho ipendacho💕💕🫣🫣 Gapko wa Miss Liverpool imekaa powa kabisaaa.Gakpo for life
Hao wengine weupe sana sitaki
🙏🏾🙏🏾🙏🏾Hawajaziachi aisee zitakuja tu 😀😀😀huyu ni wa kwetu mbona.Utambulisho wa Kerkez ni leo.
Captain Marvelous tunasubiri mapicha picha 😂😂😂
YNWA
View attachment 3382905
🙏🏾🙏🏾🙏🏾Hawajaziachi aisee zitakuja tu 😀😀😀huyu ni wa kwetu mbona.
Kerkez ni habari nyingine kabisa ni mridhi sahihi wa mishe za Robbo na pia hua anatupia magoli hivyo tupo kwenye mikono salama
YNWA
Angalau Leo umekubali kuniunga mkono 😆🤓🤓🤓🤓🤓🤓kitu roho ipendacho💕💕🫣🫣 Gapko wa Miss Liverpool imekaa powa kabisaaa.
YNWA