Alizimba masikio yake hakutaka kusikia timu nyingine zaidi ya Liverpool. Hua napata faraja kuona wachezaji wakisema ni Liverpool tu na hakuna mwingine, Florian na Kerkez ni mifano hai kwamba bado tuna mvuto uwanjani na ki ushindani.🚨💣 BREAKING: Milos Kerkez to Liverpool, here we go! Plan from May confirmed as it’s all agreed between clubs.
£40m transfer fee, long term deal and Kerkez set for medical in the upcoming days.
Kerkez to Liverpool, never in doubt. 🔐
#Romano Fabrizio
No nonsense look from the boy... overlapping pro...bring em we ready to rock🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Quality over quantity 🔥🔥🔥🔥🔥🔥Kostantinos Tsimikas 🇬🇷
kuhusu uwezekano wa kuondoka Liverpool au ligi ya England kiujumla , amesema
Kiuhalisia mahitaji makubwa ni kucheza zaidi ,lakini binafsi yangu kucheza michezo 27-29 kwa mwaka katika mashindano yote nibora zaidi kwangu kuliko kucheza michezo 40 katika timu nyingine na ligi nyingine , binafsi hapa nilipo nipo katika njia kuu ya mpira wa miguu ".
View attachment 3380956
Baada ya miaka 8 Liverpool mwamba ameuzwa West Brom.
Kila la kheri kwa Philips Nats.
YNWA
waongee vizur na Napoli tuwape Nunez na vihela kidogo tumchukue OsmihenHaya FSG malizia Striker tufunge Kitabu cha usajili.
Kuhusu DM nitawasubiri January au next season kwasasa nikipata Striker sina cha kuwadai.
Bila ya Striker inaweza kutuletea changamoto kwani mfungaji pekee alikuwa ni MO Salah hivyo msimu huu akiwa vibaya manake hatuna mfungaji tutakufa vibaya sana.
Nakumbuka Ile Cruyff turn alipiga Kule Italy 🤓🤓🔥 Klopp akabaki mdomo wazi maana sio kwa kujiamini Kule.He would be a great but failed to establish himself as a regular starter player
Kama kweli hatupo mazima wa Osiemen basi kuna tatizo kubwa sana kwa huyu dogo ambayo hatujui maana ukitazama GA yake inatosha mno.Haya FSG malizia Striker tufunge Kitabu cha usajili.
Kuhusu DM nitawasubiri January au next season kwasasa nikipata Striker sina cha kuwadai.
Bila ya Striker inaweza kutuletea changamoto kwani mfungaji pekee alikuwa ni MO Salah hivyo msimu huu akiwa vibaya manake hatuna mfungaji tutakufa vibaya sana.
Kwa kifupi Tsimikas haondoki ndani ya Liverpool hadi wamfukuze.Hiyo ndio tafsiri sahihi ya maneno yakeQuality over quantity 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Boy feels at home.
Sasa mnasema aje aodoke 'Babu' Robbo ama Tsimikas ama wote aafu tubaki na Kerkez na Owen Beck🤓😎😎
YNWA
Mchezaji kama huyu muda wote anakua yupo kwa ajili ya timu kupambana na si kingine...Kwa kifupi Tsimikas haondoki ndani ya Liverpool hadi wamfukuze.Hiyo ndio tafsiri sahihi ya maneno yake
🤣🤣🤣
Sio kujiamini tu bali na alijihatarisha pia maana ilikuwa karibu na goalNakumbuka Ile Cruyff turn alipiga Kule Italy 🤓🤓🔥 Klopp akabaki mdomo wazi maana sio kwa kujiamini Kule.
YNWA